CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Mhaya mmoja aliingia baa na kukuta imejaa full isipokuwa kiti cha meza moja iliyokuwa na mteja mmoja. Jamaa akaikaribia na kumsalimia ''mywaji'' mwenzie na kumuomba kama anaweza kumjoin. Akakaribishwa na kuketi. Ikabidi watambulishane, mnyakyusa akasema '' naitwa Mwakimimba'' mhaya akasema '' mimi naitwa Mutafirwa''......ilibidi mabaunsa waingilie kati