July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
- Thread starter
- #21
infwakt tumesoma sana, nshomileHata na sisi pia tumekuzoeeni, akchuare munamazoweya sana, arafu mumesoma sana.
infwakt tumesoma sana, nshomileHata na sisi pia tumekuzoeeni, akchuare munamazoweya sana, arafu mumesoma sana.
tokaaaaaaaaaaaaaaa
Jana tu Mhaya mmoja katangaza Wahaya waungane wakati yeye anakaa nyumba ya baba yake Osterbay na yeye anachukua Bachelor Eng UDSM hawa watu Nshomile kwelikweli
hao wahaya washamba mbona 2meacha majigambo now days...jamani
najua hampendi bt u cnt denay da fact da most of wahaya r NSHOMIRE. And most of the haters TOINA MAGEZI.Hahahaha
kusoma ndiyo wamesoma,
hatujakataa. nilikuwa na mpenzi wa kihaya na alikuwa msomi haswa! ila
kwa ufupi nasema SIRUDII!
Ulikutana na nini huko?
inye onyiyemu...
kusoma ndiyo wamesoma, hatujakataa. nilikuwa na mpenzi wa kihaya na alikuwa msomi haswa! ila kwa ufupi nasema SIRUDII!