Mhasibu Halmashauri ya Mbarali ashtakiwa kwa Ubadhirifu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Oktoba 25, 2023 katika Mahakama ya Wilaya Mbarali, mbele ya Mhe. Emily Mwambapa, imefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na 33/2023, Jamuhuri dhidi ya
Patrick Mpagama ambaye ni Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Mshitakiwa huyo ameshtakiwa kwa kosa la ubadhirifu wa kiasi cha Sh. 445,000/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

Ilidaiwa kuwa alikusanya fedha za Ushuru wa Mazao na hakuziwasilisha na badala yake alizitumia kwa matumizi yake binafsi.

Kosa hili ni kinyume na kifungu cha 28 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007.

Mashtakiwa baada ya kusomewa mshtaka yake aliachiwa kwa dhamana na shauri limepangwa kuendelea kwa hatua ya kuanza kusikiliza maelezo ya awali (PH) Novemba 15, 2023.
 
Shilingi 445,000/= tu?
 
Apo kafanyiwa fitina atoke kwenye icho kiti...Ubadhirifu wa laki 4 si wamkate kwenye mshahara
 
Oktoba 25, 2023 katika Mahakama ya Wilaya Mbarali, mbele ya Mhe. Emily Mwambapa, imefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na 33/2023, Jamuhuri dhidi ya
Patrick Mpagama ambaye ni Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Mshitakiwa huyo ameshtakiwa kwa kosa la ubadhirifu wa kiasi cha Sh. 445,000/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

Ilidaiwa kuwa alikusanya fedha za Ushuru wa Mazao na hakuziwasilisha na badala yake alizitumia kwa matumizi yake binafsi.

Kosa hili ni kinyume na kifungu cha 28 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007.

Mashtakiwa baada ya kusomewa mshtaka yake aliachiwa kwa dhamana na shauri limepangwa kuendelea kwa hatua ya kuanza kusikiliza maelezo ya awali (PH) Novemba 15, 2023.
Wapo wengi sana hao

Tunawajulisha tu, ukiona mwenzako ananyolewa...

Mchengerwa anakuja yuko njiani.
 
Mshitakiwa huyo ameshtakiwa kwa kosa la ubadhirifu wa kiasi cha Sh. 445,000/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

Ilidaiwa kuwa alikusanya fedha za Ushuru wa Mazao na hakuziwasilisha na badala yake alizitumia kwa matumizi yake binafsi.

Kosa hili ni kinyume na kifungu cha 28 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na
Oktoba 25, 2023 katika Mahakama ya Wilaya Mbarali, mbele ya Mhe. Emily Mwambapa, imefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na 33/2023, Jamuhuri dhidi ya
uhuju
Rushwa namba 11/2007.

Mashtakiwa baada ya kusomewa mshtaka yake aliachiwa kwa dhamana na shauri limepangwa kuendelea kwa hatua ya kuanza kusikiliza maelezo ya awali (PH) Novemba 15, 2023.
Uhujumu uchumi wa shilingi 445K na dhamana
Bongo movie
 
Laki nne hela ya kusumbuana?nikajua mamilioni em tafuten issue za msingi za kufanya ,mishahara yenyew hiyo ya halmashauri
 
Back
Top Bottom