Mhasibu anamiliki billion 150 benki-Dira ya Mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhasibu anamiliki billion 150 benki-Dira ya Mtanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Jun 11, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimeiona hii heading kwa Mjengwa blog ktk ile page ya magazeti.
  Kwa ambao wako na hardcopy ya ilo gazeti mnaweza tupa ufafanuzi ni mhasibu wa wapi na amezipataje izo ela kama zimeanishwa!
  Alafu tunalalamika serikali ina ukata while wanachi wake ni matajiri
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  The Web server (running the Web site) is currently unable to handle the HTTP request due to a temporary overloading or maintenance of the server......

  anyway mkuu utaambiwa una wivu na huyo mhasibu.....
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  That is Tshs 150,000,000,000....Du hela hii si unamuajiri hata Dr Kimei
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Gazeti gani hilo?...au MJENGWA hajasema!!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Yaani nilishangaa kwa hela iyo naweza fadhili vibajeti vya wizara kama ya habari na michezo,au ile ya mama Simba na chenji ikabaki
  Hakuna wivu apa suala la kumjua liko wazi ni kwamba gazeti Dira ya Mtanzania silioni online
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Atakuwa na vielement vya UCCM huyu
   
 8. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hivyo ni VIJISENTI TU.
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nikaambiwa ni Reja....o sishangai. huwa nateta sana kufaidishwa na serikali ya CCM.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Chukua Chako Mapema in practise
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Maige ni CPA(T)........isije ukawa ndio yeye
   
 12. cement

  cement JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ahahahaaaaa JF raha tupu!!!
   
 13. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mkuu huyu jamaa inabidi uwe makini, kwa hasira alizonazo hivi sasa ni bora ukutane na simba aliyejeruhiwa!!
   
 14. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  hii ndo bongo bwana..SUMAYE wakati anastaafu alikua na trillion 11 ..kai tu tunayo sie wabantu
   
 15. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Duh! makubwa, ebu wekeni habari kamili
   
 16. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  natamani kulia. yaani mimi imebidi kila mtoto awe na account yake ili kila mwisho wa mwezi niwe namwekea ada yake nisije nikaumbuka shule zinapofungua, kumbe wengine wana mahela ya kulipia ada wanafunzi wote Tanzania na chenji ikabaki.
   
 17. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Eeh, embu nitafutieni huyo mtu, tugawane hizo cash, khaa!
   
 18. N

  Ntu JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 563
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Wakuu hivi ni vijisent alivyovibakiza bank za Bongo tu!

  Hebu tujiulize vijiswali vidogo vifuatavyo:-


  Je a/c zake nje ya bongo za dola, euro, Yen ..... zitasoma sifuri ngapi?

  Je shambani kwake kafukia kiasi gani (Km yule mjomba wa Zambia)?

  Je tukichunguza investments alizonazo e.g majumba, magari, vijisenti vilivyoko kwenye a/c ya mkewe, wanawe, nduguze na marafiki wa karibu itakuwa na thamani gani?

  Huyu ni mmoja tuliemgundua kwa bahati mbaya, je ni wangapi wanaomiliki mihele kama hii ktk nchi yetu?

  Je unafikiri vibakuli tunavyovitembeza kwa wafadhili vyote vinamiminiwa kwenye vipaumbele vya kitaifa au vinamiminiwa mifukoni mwa wenye mkono mrefu wa kuchukua chao mapema?


  Je x...........?

  Kweli hii ndio nchi ya WADANGANYIKA! Kindly M4C help us ......!
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii zenji wangesema watu wana mihela bwana we acha tuu
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nasubiri jina lake!!!!!! looooiiihhhh
   
Loading...