tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
Akiwa mwandishi wa siku nyingi ndo unamaanisha kila anachoandika kipo sahihi au? kwanza afadhali usingesema kama ni muandishi wa siku nyingi maana ni aibu,hiyo ndo kuomba ukuu wa wilaya au?hivi mi nashangaa wanathubutu hata kudiriki kuita tz kisiwa cha amani,hivi kweli hii nchi kuna amani kweli au tunataniana,kwenye amani watu watalala na njaa,hawajui kesho yao itakuwaje,hatma ya maisha yao hawaijui?halafu eti watu wachache wanaojua kuvimbiwa kwa pesa ya umma wamebaki kutangaza uzushi mtupu,hivi kweli anataka tuamini kwamba chadema ndo inafanya mauaji na si polisiccm,mbona hatuoni kwenye mikutano ya ccm polisi wakikataa isifanyike ,kwani mwangosi akifanyia kazi cdm shida ipo wapi,yeye mbona anafanyia chama cha majambazi,tena mnafiki nafikiri hata siku wenzake wanaandamana kuhusu mwangosi yawezekana kilikuwa mstari wa mbele kama sio umbeya ni nini,yeye si ameona kuwa mwenzie alistahili kwa kuwa ni cdm,sasa leo kwa mwangosi hawezijua kesho ni kwa nani?waswahili husema mwenzio akinyolewa ..............Kama watu watakumbuka vizuri kama kweli wana JF ni watu waliosoma vitabu huwezi msahau Yusph Halimoja, ni mwandishi mahili na wa siku nyingi na ndo mwandishi wa makala hii tunayojadili.
Kwenye makala hii sioni tatizo, mwenzetu kaleta mada ya kujadili ikiwa na observation zake, hebu kama watu huku ndani ni wasomi wenye uelewa wa mambo hebu jadili kipengele kimoja kimoja ukipinga au kuunga mkono hoja.
Ukisoma post nyingi hapa zilizokwisha za kupinga hapa zinakosa mashiko kwa sababu hatuna data za kutufanya tupinge hoja hii, mana wanasema ''kama huna data huna haki ya kuongea''
Tusipende kutumia insictinct kwenye hoja ambazo zinahitaji tuwe na majibu sahihi yaliyofanyiwa tafiti, majibu yanayokuja hapa ni dhahiri mwandishi yuko sahihi mana mifano tunaiona hapa, badala ya kujibu hoja wengine wanatukana, tena matusi mabaya, kwa nini tusiamini haya yanayozumzwa na mwandishi.
Wana jf tujifunze kujenga hoja na siyo kutumia matusi katika hoja