The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,641
- 18,282
Na mimi ningekuwa na Diplomma ningeandamana kutaka NACTE wachunguze Uhalali wa hiyo diplomma. Tahariri yake haiwezi kuwa imetoka kwenye kichwa chenye diploma. Hata mtu wa std 7 anafikiria vizuri kuliko huyu.
Inawezekana kabisa hata ile article aliandikiwa!!!!