Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

Ahsante sana mkuu..Pole sana Pia..Muumba ndo kila kitu,nitazd kupambana mkuu.
 
Take it easy mkuu! Hata mwalimu anaweza kuwa mhandisi mzuri bila hata kusomea, ni kujifunza field tu namna kazi zinafanywa! Mifano ya watu kama hao ipo mingi, unakuta mtu ni engineer, mwalimu, mwanasiasa, mwandishi n.k kwahiyo nikisema nina uwezo wa kufundisha, ninamaanisha
 
Yes , kuwa mtaalamu wa jambo Fulani sio lazima usomee

Kuna watu wanafanya kazi bank Ila wamesoma ualimu na wengine ni Engineer .

Nadhani mkuu upo sahihi hata Mimi mwalimu wangu alikuwa Mwanasheria na kanifundisha vizuri Sana O-level .
 
Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Umesomea uhandisi wa nini mkuu?
 
Usisahau kuwa kuna maandamano 24.01.2024. Jiunge ili uibadilidhe nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…