DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,737
- 81,806
Pole Sana , MUNGU akufanikishe upate hitaji la moyo wako.Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Mkuu hiki nshajarbu njia zote..hakipungui mkuu..Only God Knows Jinsi gani navyopmbn..Try to excercise more to master stammering
Ahsante sana mkuu.Pole Sana , MUNGU akufanikishe upate hitaji la moyo wako.
Pole sana mkuu. Usikate tamaa hiyo ni hali ya kawaida tu wala isikukoseshe amani na kukufanya ushindwe kusonga mbele.Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Shukrani sana mkuu..hakika nafarijika na ushauri wenu.Pole sana mkuu. Usikate tamaa hiyo ni hali ya kawaida tu wala isikukoseshe amani na kukufanya ushindwe kusonga mbele.
Jifunze kuwa na confidence kwani hiyo ndio dawa yake tosha kabisa.
Naamini mpaka umefika hapo basi ni wazi kabisa umevuka vikwazo vingi maana kuwa mhandisi sio jambo dogo. Believe it that you can do it.
Wewe hakika ni tajiri ajae either kwa kupata ajira ama kwa kujiajiri.
Mungu ni wetu sote mkuu na kila mtu ana riziki yake hapa duniani, na anayepanga ni Mungu pekee either kwa kuwahi au kuchelewa believe me ipo siku neema kwako itakuja pia. Kutangulia siyo kufika. Amini kuwa ipo siku nawe utalia kivulini either kwa kuajiriwa au kujiajiri na naamini hiyo siku yaja very soon kwako. Keep on pushing and praying to God coz better days are on the way coming towards you and they'll last forever.Shukrani sana mkuu..hakika nafarijika na ushauri wenu.
Mkuu umesoma lakini huheshimu taaluma za watu,wewe sio mwalimu,hivyo hupaswi kusema unauwezonwa kufundisha,ualimu sio kufundisha tu what is physics or chemistry,ualimu ni zaidi ya hayo,sijawahi kuta mwalimu aliyesoma chemistry au biology akijinadi kuwa anauwezo wa kutoa huduma za kitabibu au mtu yeyote aliyosoma fani tofauti akijita yeye ni mwanasheria,kwanini ualimu!?(1) Connection kwenye kupata sehemu yoyote ya kufundisha; Nina uwezo wa kufundisha masomo matatu kwa ufasaha Physics, Chemistry na Mathematics kwa level zote,
Mungu ni wetu sote mkuu na kila mtu ana riziki yake hapa duniani, na anayepanga ni Mungu pekee either kwa kuwahi au kuchelewa believe me ipo siku neema kwako itakuja pia. Kutangulia siyo kufika. Amini kuwa ipo siku nawe utalia kivulini either kwa kuajiriwa au kujiajiri na naamini hiyo siku yaja very soon kwako. Keep on pushing and praying to God coz better days are on the way coming towards you and they'll last forever.
JIAMINI, UNAWEZA hicho kigugumizi chako ni kama kama doa tu mwilini, likubali, jikubali pia na ujiamini.
Kwahiyo una mishe gani mtaani?Ahsante mkuu,Aamin..it's 5th year tangu nigraduate..Sielewi nitafanyaje..
Samahani mkuu...Huwa unafanya ibada kabla ya kuingia katika usaili, nakusudia kuamka usiku na kuswali rakaa mbili??
Mkuu nipo tu..Still natafuta pakujishkiza.Kwahiyo una mishe gani mtaani?
Kwa Muslims wanaelewa mkuu...idadi ya visimamo katika swala..Samahani mkuu...
Rakaa ndio nini..
Location?Mkuu nipo tu..Still natafuta pakujishkiza.
Kwa hiyo ukaamua kujipa jina la kubeti?Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Wapo walimu wengi tu ni vilaza kuliko ambao hawajasomea ualimu. Kusoma na kupractice ni vitu viwili tofauti, tuliosoma sayansi tunajua. Mm nimefundishwa vzr zaidi na form six leavers kuliko mnaojiita walimuMkuu umesoma lakini huheshimu taaluma za watu,wewe sio mwalimu,hivyo hupaswi kusema unauwezonwa kufundisha,ualimu sio kufundisha tu what is physics or chemistry,ualimu ni zaidi ya hayo,sijawahi kuta mwalimu aliyesoma chemistry au biology akijinadi kuwa anauwezo wa kutoa huduma za kitabibu au mtu yeyote aliyosoma fani tofauti akijita yeye ni mwanasheria,kwanini ualimu!?
Nyie ndo munaoufanya ualimu uonekane hauna maana, kwamba baada ya kuona mambo yako hayaendi basi pumziko ni kwenye ualimu!!?
Tulia wewe,Mkuu umesoma lakini huheshimu taaluma za watu,wewe sio mwalimu,hivyo hupaswi kusema unauwezonwa kufundisha,ualimu sio kufundisha tu what is physics or chemistry,ualimu ni zaidi ya hayo,sijawahi kuta mwalimu aliyesoma chemistry au biology akijinadi kuwa anauwezo wa kutoa huduma za kitabibu au mtu yeyote aliyosoma fani tofauti akijita yeye ni mwanasheria,kwanini ualimu!?
Nyie ndo munaoufanya ualimu uonekane hauna maana, kwamba baada ya kuona mambo yako hayaendi basi pumziko ni kwenye ualimu!!?
MBURAHATI-dar es salaam MkuuLocation?
Ndio na nilikua muumini wa michezo ya bahati nasibu sababu sikua na means nyingine ya kujipatia kipato zaidi ya hiyo ndio maana nikajipa jina hlo but now nishaachana nayo..naamini Rizki yangu kama ipo ipo tu.Kwa hiyo ukaamua kujipa jina la kubeti?