Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

Umemaliza mchezo
 
ukiwa mdini kumbe unakuwa mpofu. Kifo ni kifo tu kwa muslim au yahudi. marekani waache upendeleo waende kule kivu. mogadishu.afrika ya kati na gaza. Tujue kweli wao ni waungwana. Usa ni wapiga dili tu kama wengine

Tatizo hapa sio dini, huwezi kutumia aproach moja ku solve situation 2 tofauti. Kwa uelewa wako mdogo je hali ilivyo mogadishu ndio jinsi ilivyo kwa wale wakristo qom na miji mingine?
 
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Nimesikia mjadala mmoja leo ukihusu zaidi 'authority' ya information za google na Wikipedia katika marejeo ya masomo na imenifurahisha sana. Wanasema tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya formal na informal education imepunguzwa kwa kiasi kikubwa sana na maendeleo ya teknolojia hasa katika IT.
Wanasema wakati vyuo vingi vikiwa bado na syllabus zao za miaka hiyo mitandao inabadilika kila kukicha na kuwafanya watu wasio na syllabus hata kujua vitu vingi zaidi ya ilivyotarajiwa.
Mh. Prof hapa aangalie asije akawa victim wa syllabus/formal education.

Tatizo hapa sio dini, huwezi kutumia aproach moja ku solve situation 2 tofauti. Kwa uelewa wako mdogo je hali ilivyo mogadishu ndio jinsi ilivyo kwa wale wakristo qom na miji mingine?

Tuachane na wasomi wa aina hii.Tuipongeze Amerika kwa kuthubutu.Wakristo wanachinjwa kwa sababu moja tu. Ni wakristo.hakuna sababu ya kuonyesha umahiri wa nadharia nyingi.kinachohitajika ni msaada wa haraka na wenye uwezo wa kuondoa udhalimu huu.nchi nyingine ziungane na Amerika na ziache porojo
 
waislamu wanakufa kwa sababu tu ni waislamu.
 
Tatizo hapa sio dini, huwezi kutumia aproach moja ku solve situation 2 tofauti. Kwa uelewa wako mdogo je hali ilivyo mogadishu ndio jinsi ilivyo kwa wale wakristo qom na miji mingine?

upofu wa fikra ni kitu kibaya sana. Huyu u.s.a.kama kweli mtetezi kwa nini aendi kwingine ?
 
pumbavu kabisa hawa waamerica watawafanya kitu mbaya acheni ushabiki wakijinga akifa mkristo kelele nyingi akifa mwislam mnashangilia

Kwa hivyo wewe unataka hawa wakristo wachinjwe.sidhani.waislamu wanatetewa pote ni ugumu wa hali halisi tu.Wafaransa wapo C A R.Amerika inatafuta amani Gaza.Juhudi nyingi zipo somalia, kwa bokoharamu nk
 
upofu wa fikra ni kitu kibaya sana. Huyu u.s.a.kama kweli mtetezi kwa nini aendi kwingine ?

Tatizo wewe udini umekujaa hadi umejitia upofu, nimekuuliza swali dogo tu je hali ilivyo Mogadishu ni sawa na Qom? Yani kilaza wewe umeshindwa hata kujua Mogadishu ni civil war wakati qom target ni kundi ambalo halina silaha, halina ulinzi, wanauliwa kisa tu wao ni wakristo sio wameiba ardhi, wazinzi, wamepora mali etc.
 
Ingemsikiliza kwa makini

Kinachowasukuma ni chuki

Prof kasema kuingia kwa marekani irak italeta suluhisho la kudumu lamani ???

Swala la dini yake limeingiaje hapaa
Chukizenu juuu ya uisilamu ndizo zinazowasukuma kutukana
 
kwa hivyo huyu prof anashauri tusubiri lipatikane suluhisho la kudumu wakati wakristo wanachinjwa?
 
Aibu sana kwa mtu msomi kushindwa kujizuia shame on you Bashiru!!"
 
Kwa hivyo wewe unataka hawa wakristo wachinjwe.sidhani.waislamu wanatetewa pote ni ugumu wa hali halisi tu.Wafaransa wapo C A R.Amerika inatafuta amani Gaza.Juhudi nyingi zipo somalia, kwa bokoharamu nk
Huwezi kujua mambo haya kwa kutumia akili na usomi wa Division one za Kanisa. Hata haujawahi kujiuliza kama bokoharam wana kiwanda cha silaha au laa, na wanapata wapi basi hizo silaha! Vita ya syria haijakusaidia kuelewa global politics, simply ni kuwa mna elimu ya Division one za kanisa.
 
kumbe waamerika wameenda kupigana afganstan kisa ni waafganstan hawana silaha za kuwapiga taleban. Kwanini waamerica wanachagua watu wa kuwatete ? Nieleweshe. Hao u.s.a wanapiga dili huko. huo utetezi ni geresha yao tu kwani palestina. Somalia uganda kongo na afrika yakati hakuna wakristo kwa nini iwe iraq tu na isiwe kule kwa boko haramu
 
Kwa hiyo wewe mwenye division unayotaka unaunga mkono wakristo wachinjwe?
 
Mbona muhadhiri nimempenda buree kajibu hoja vizuri sana shauri yenu msiyependezwa na maelezo yke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…