Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

Amini usiamini, makanisa yameua nchi hii kwa kutuletea Division one za kanisa ambazo zimewafanya weneyenazo kutotumia akili kabisaaaa! Sasa kama ww unamtetea Israel na mwenzako anawatetea hao "waislam" wa iraq, then tofauti zenu nyie nini?

Mipangomingi;
Tatizo lako weye ni mipangomingi mno unayo ila hata mmoja haukamiliki. Huoni umetoka nje ya mada? Division one ya Tanzania na vita ya Iraq wapi na wapi??? Huyo aliyebuni Divisio V ni Mkristo??? Mbona mnavuta bange zenyu mchana jamani tena barabarani?? Mnajitia upofu msonao??
Weye waona hao magaidi wa Hisibullah wanaowatumia watu ka ngao yao ya kurushia mirocket hiyo ikawaue wanadam wenzao huko Israel, kwako weye ni sahihi kabisa kabisa kwa kuwa sio waislamu wanaokufa??? Kama Tz tunao wawili watatu ka weye, basi JK ana kazi kutawala.
Nakuomba ukienda Masjid kawaombe hao wenzako ka weye kuwa, kama ni huruma, magaidi hao waende jangwani, wakakae huko na mirocket yao, wayafyatulie huko huko wala hakuna hata mtoto mmoja tu wao atakufa. Israel wakirusha rocket lao 1 tu likakosea njia na kuangukia shule miye nitakuunga mkono tuandamane sio mpaka viwanja vya Jangwani tu bali mpaka huko huko jangwa la Israel kuwapinga. Lakini, kama bado hao magaidi weye unaowaita mashujaa wataendelea kuwatumia watoto wao ka ngao mye nawaita Waoga wakubwa na nasema Wanastahili kipigo cha mbwa mwizi. Full stop.
 

hivi nyie watu mmerogwa? russia anataka kuchukua kipande cha ardhi ya ukraine dunia yote imepiga kelele na kutaka kuiwekea vikwazo urusi lakina israel kuchukua eneo la palestina kwenu sio tatizo kabisa
 

nani anaogopa kipigo cha mbwa mwizi bwana!!! yesu mwenyewe alipigwa kipigo cha mbwa mwizi na hao waisrael sembuse binadamu? mbina hamzungumzii israel kuchukua eneo la palestina?
 
aKama ungaliwasikiliza vizuri Waisrael nadhani ungebadili mtazamo wako. Nilivyowasikiliza ni kuwa Wapalestina wanafanya watoto, wanawake na raia kuwa ngao yao (Shield) katika sehemu walizoweka silaha zao. Walionyesha silaha zilizopatikana katika shule ya UN. Wapestna kama wangewapenda watoto wao wasingewaweka sehemu hatarishi. Nia ya Israel ilikuwa ni kuharibu silaha na miundo mbinu inayotumika na Hamas kuwashambulia waisrael. Kama ningalikuwa mimi nisingaliwaweka watoto katika mazingira hatarishi ili kupata huruma ya walimwengu
 
Bashiru kazungumza vizuri tu. Kasema US kuichapa Iraq kuna sababu nyingi na nyingi ni za kihistoria. Ndio maana US hajaenda Palestina wala Syria, ambapo watu wanakufa kila siku ila kaenda Iraq mapema mapema.

 
si busara kutetea chama chako badala ya kutetea wanyonge; vyama hivi vya udini yaani UKRISTO na UISLAM ni balaa tu. Wakati boss wao yaani MUNGU amekataza kuua,kuzini,uonevu n.k . Sijui kutetea chama chako kwa njia ambayo boss hataki inasaidia nini.
 
Watu hawajui kua Marekani haikua na nia njema na raia wa Iraq.Kabla ya kuvamia na Kumuua Saddam Hussein nchi ilikua na amani watu waliishi Kwa furaha.Mi najua kipindi hicho cha vita waliuawa wote Waislam na Wakristo kisha zikapandikizwa chuki baina yao ambazo tunashuhudia leo.
 
Alichofanza Bashiru Ally ni kueka jicho la tatu kuwa : Kwa nini Marekani itizame ati mateso pale Iraq yafanzwayo na ISIS ina maana wale wanaouwawa pale Palestina si Biniyadamu....!?

Samahani tatizo liwapi juu ya mtazamo wa msomi wetu Bwana Bashiru Ally...!?
 
Sijawahi kufurahishwa na michango ya huyu jamaa.Tanzania tuna tatizo kubwa katika nyanja ya uchambuzi.Mihemko ndo inatuongoza kuliko kuzingatia uhalisia.

Mkuu kwani lazima michango imfurahishe mtu......!?

Wakosea sana kauli yako hiyo, nawe twaanza tia mashaka na uendezi wako wa mambo.
 
Muache mwl wangu.anachosema kina mantiki sio kwamba anaunga mkono ugaidi.kwanini Marekani awakusaidia Naigeria Bhoko haram inapo fanya mauaji.Maana najua awana uwezo wa kuizuia Israel. Kwanini Usa Wanachagua mbona awakwenda central Africa?

kwahio kama wamefanya kosa moja ndio waendelee kufanya mengine ? Kwani wenyewe ndio wana mandate ya kuhakikisha wanabana kila mtu waache wawabane wanaotaka (so long as ni waharifu) hao wengine waliobaki wanaweza kubanwa na wengine hapo ingebidi awasifu kwa kuwabana hao magaidi ila angewaomba wasiachie hapo waende na pengine sio kuwaambia sababu hawakuwabana wale na hawa wasiwabamize
 

Salute mkuu, uchambuzi umetukuka
 

nani anaogopa kipigo cha mbwa mwizi bwana!!! yesu mwenyewe alipigwa kipigo cha mbwa mwizi na hao waisrael sembuse binadamu? mbina hamzungumzii israel kuchukua eneo la palestina?

Bashiru kazungumza vizuri tu. Kasema US kuichapa Iraq kuna sababu nyingi na nyingi ni za kihistoria. Ndio maana US hajaenda Palestina wala Syria, ambapo watu wanakufa kila siku ila kaenda Iraq mapema mapema.

Huyo ni alqaeda anajulikana, kwake uislamu ndio taaluma; ukiongezea na upuuzi wa UDASA wachumia tumbo ndio balaa zaidi; kwao kumoja na Dr Bana; hovyoooooo!

binafsi mimi niliona ameongea vizuri tu kwamba nia ya wamarekani iraq alikuwa anaona ilikuwa na mashaka ya kwnaini maeneo mengine hajaenda (wala hakutaja gaza labda kam sikumsikia vzr). however ninachoweza kumcriticise ni kwamba, hata kama aliona marekani hawajaenda gaza at least alitakiwa aonyeshe sympathy kwa wale wa iraq ili ionekana hayuko biased, sasa the way alivyoeleweka ni kama aliona afadhali ISIS wanalipiza kisasi kwa yale yanayotokea gaza au labda muda ulikuwa mchache akashindwa kumalizia point yake labda angeongea zaidi ya pale, ila kwa alivyoongea kwa ufupi vile na wakamkatisha, imeonekana wazi yuko biased na haoni ubaya wanaoufanya wale watu wa iraq. kwani humu jf hayupo, si ajisafishe? alitakiwa kulaani mauaji yote, yale ya gaza na yale ya iraq. hakufanya hivyo, labda alikosa muda walimkatisha.
 

Wewe ndio nashangaa umakini wako wakati Israel inakwangua pale gaza na kulipua mabomu hovyo kule gaza hukushangaa hata siku mmoja marekani imeshindwa kulaani achilia mbali kuwasupport wapalestina? Nani mdini kati yako na Bashiru?????
 
Amini usiamini, makanisa yameua nchi hii kwa kutuletea Division one za kanisa ambazo zimewafanya weneyenazo kutotumia akili kabisaaaa! Sasa kama ww unamtetea Israel na mwenzako anawatetea hao "waislam" wa iraq, then tofauti zenu nyie nini?

Wewe ndio 0 IQ kwa kuaminishwa kwenye madrasa kuwa shule za makanisa zinaonesha majibu kwa watoto wao ...mkalalamika Ndalichako aondolewe kwenye baraza la mitihani kwa kuwa anapendelea wanafunzi wa makanisa lakini wapi shule za kanisa bado zinapeta we bado unaendelea kulalamika ...na utaendelea kulalamika kwa kuaminishwa ujinga kwenye madrasa hadi kesho.
 

Big up, umetendea haki jina lako, hilo ndo jibu mahsusi mkuu
 

Acha kupotosha wewe,alichokisema yeye ni kuwa hadhani kama kutakuwa na impact yoyote huko Iraq kama Marekani ilishindwa kuzipata siraha za maangaizi ilizokuwa inazitafuta je kwa mgogoro itaweza? Ye akawa anasema hakuna pale Marekani alipoenda kutuliza amani na amani ikapatikana akaongeza pia kuwa labda kinachoipieleka huko Marekani ni kimaslahi zaid na si amani pia akasema kwa nini Marekani isiende Gaza ambako kuna vita na kuna watu wasokuwa na hatia wanakufa?

Nami hapo niliimunga mkono wala si mambo ya kidini sema we mtoa mada ndo ulikuwa na itikadi hiyo ya kidini kitu ambacho sikukiona kwa Bashiru,mi nadhani ndugu yangu uache upotoshaji.
 
Tabu ni pale unapopinga udini kwa udini!wakoloni nuksi kweli wamewafanya watu weusi wazione hizi dini ni zao hadi wanatukanana,chukiana na hata kuuana wakat wenyewe wanapiga hela kwa ujinga wetu
 
pumbavu kabisa hawa waamerica watawafanya kitu mbaya acheni ushabiki wakijinga akifa mkristo kelele nyingi akifa mwislam mnashangilia
 
Bashiru alikuwa anapinga tabia ya marekani kuwa na double standards na si lazima uwe na degree utambue hilo

Yaap lakin kwenye hili situation ipo tofauti, wale wakristo sio tishio kwa ISIS. Hawajafanya mashambulio kwa isis, kinachofanyika pale ni isis kuua raia ambao hawawezi kujilinda. Maeneo mengine kuna mapigano, kama israel na gaza wao wanapigana sio mmoja amekaa tu mwingine anasulubu
 

ukiwa mdini kumbe unakuwa mpofu. Kifo ni kifo tu kwa muslim au yahudi. marekani waache upendeleo waende kule kivu. mogadishu.afrika ya kati na gaza. Tujue kweli wao ni waungwana. Usa ni wapiga dili tu kama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…