Mhadhiri NIT akiri kumuomba rushwa ya ngono Mwanafunzi wake

lakini sio kwa kuomba ngono kwa mwanafunzi.Kama una hamu na K si nenda ukatongoze hata barmaid incase ya mkeo imekuchosha.

Ya nini ngoka wakati vitoto vibichi, vitamu , havijachakaa vipo shida makubaliano hayakuepo.
Pengn proffesa alikua anatumia cheo chake kufosi mapenzi hapa ndipo akipokosea .
Ila kuchagua kabinti mie namuunga mkono
 
69 bado mtumishi wa umma?
Possibly kuna tatizo nyumbani labda mke hampi haki yake maana kwa age yake alitakiwa kupata huduma nyumbani au kwa age mates wake.
Huyo agemate wake hajiwezi. Mwanamke wa 69 hawezi haya mambo ila hata huyo babu angemshikashika tuu huyo binti hana uwezo wa kumshghulikia. Mwisho angemhonga na kumwomba asitoe siri.
 
Mpaka uombe rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi,una ukame kiasi gani wakati una mke ndani?

Wee Victoire hujawahi acha bear baridi kwenye friji ya nyumbani ukaenda pata moja baridi Bar? au huamini kuwa maendeleo hayana chama?
 
Huyo agemate wake hajiwezi. Mwanamke wa 69 hawezi haya mambo ila hata huyo babu angemshikashika tuu huyo binti hana uwezo wa kumshghulikia. Mwisho angemhonga na kumwomba asitoe siri.


Haya wazoefu yetu masikio na macho
 
Hebu fikiria mke wake na watoto wake kwa aibu hii. Haya madushe yetu ni ya kulaani kweli


Kama alikua ana upendo wa mke..mke shurti asamehe...!km mume alikua mbinafsi hehehehee (in mama ima voice)..shit happens!inategemea na mume alikuajalikuaje kwa mkewe!...mke akisimama imara itamsaidia asijidhuru bure baba wa watu
 
Kama alikua ana upendo wa mke..mke shurti asamehe...!km mume alikua mbinafsi hehehehee (in mama ima voice)..shit happens!inategemea na mume alikuajalikuaje kwa mkewe!...mke akisimama imara itamsaidia asijidhuru bure baba wa watu

Tuombeane mema tu mitihani ya maisha haichagui nani wa kuifanya
 
Kama alikua ana upendo wa mke..mke shurti asamehe...!km mume alikua mbinafsi hehehehee (in mama ima voice)..shit happens!inategemea na mume alikuajalikuaje kwa mkewe!...mke akisimama imara itamsaidia asijidhuru bure baba wa watu
Weeeeee, unless awe malaika. Anaweza kujishetua mbele ya watu ila mkiwa pamoja lazima cha moto ukipate. Akikasirika anakupa za usoni. Unaambiwa hata HG pengine utambaka. Kweli amepata kipigo hatasahau hadi aingie kaburini unless ni nsukuma pure
 
Weeeeee, unless awe malaika. Anaweza kujishetua mbele ya watu ila mkiwa pamoja lazima cha moto ukipate. Akikasirika anakupa za usoni. Unaambiwa hata HG pengine utambaka. Kweli amepata kipigo hatasahau hadi aingie kaburini unless ni nsukuma pure


Kwamba sukuma hawana mshipa wa aibu au😎!
 
KUMBE NI YA MUDA SANA MI NILIJUA MWAKA HUU,NA JE HIYO PESA ANAPEWA NANI??🤷🙈
 
Bill Clinton mwenyewe alichepuka kwa Monica, sembuse huyo Mwl? Walimu wengi wakiume wa sekondari hadi Chuo kikuu hao mabinti ndio vipoozeo vyao!
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda jela miaka mitatu baada ya kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ikiwamo kuomba msamaha na kukiri kutenda kosa la kuomba ya ngono.

Kadhalika mshtakiwa huyo ameshailipa serikali fidia ya Sh.milioni mbili baada ya makubaliano na DPP.

Hukumu hiyo ilisomwa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya mshtakiwa kuandika barua ya kukiri kosa kwa DPP dhidi ya kesi ya Uhujumu Uchumi namba 80/2019.


=====
Mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), amehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda jela miaka mitatu baada kukiri mashtaka yaliyokuwa yakimkabili likiwemo la kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wake.

Hukumu hiyo imesomwa leo Novemba 26,2019 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya mshtakiwa kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ikiwamo kuomba msamaha na kukiri makosa yake.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi amesema tabia ya rushwa ya ngono imekithili na ni gumzo katika vyuo hapa Nchini na kwamba inapaswa kukemewa.

Amesema, kitendo cha wanafunzi kuonyeshwa majibu kunapelekea kupata wataalamu wasiokuwa na viwango vinavyostahili hivyo njia sahihi ya watu kama mshtakiwa ni kukomesha vitendo Kama hivyo kwa kuwafikisha mahakamani na kuwapatia adhabu chungu.

"Utalipa faini ya Sh.milioni tano au kwenda jela miaka mitatu" amesema Hakimu Shaidi.

Hakimu Shaidi ameongeza kuwa, kitendo alichofanya ni mshtakiwa huyo ni cha aibu kwa umri wake kwani mtu wa taaluma yake alipaswa kuwa mfano wa kuigwa lakini akaamua kujiingiza katika mapenzi na watoto wadogo ambao si hadhi yake.

Hata hivyo, mshtakiwa huyo ameshailipa serikali fidia ya Sh.milioni mbili baada ya makubaliano hayo.

Mapema, Wakili wa Serikali Mkuu, Zakaria Ndasco amedai kuwa Jamhuri haina kumbukumbu ya makosa ya zamani ya mshtakiwa na kwamba tayari ameshalipa fidia ya Sh.milioni mbili.

Akitoa utetezi wake, kabla ya kusomwa kwa hukumu hiyo, Wakili wa utetezi, Claudia Msando amedai mshtakiwa ana umri mkubwa na kwamba ameshaanza kupata maradhi yaa uzee ikiwamo kutokusikia na kuona vizuri na pia ni mstaafu na ana familia inayomtegemea.

Katika kesi ya msingi inadaiwa mshtakiwa ambaye alikuwa akifundisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2015/16 aliomba rushwa hiyo kutoka kwa mwanafunzi Victoria Faustine.

Mwendesha Mashtaka wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukutu), Vera Ndeoya alidai kuwa Januari 12, mwaka 2017 katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Camp David, iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam mshtakiwa aliomba rushwa ya ngono.

Ilidaiwa kuwa mshitakiwa huyo akiwa mwajiriwa wa NIT katika kozi ya Usimamizi wa Barabara na Usafirishaji namba LTU 07101 kwa kutumia mamlaka yake alimlazimisha mwanafunzi huyo kutoa rushwa ya ngono.

Ilidaiwa kuwa, aliomba rushwa hiyo ili aweze kumfaulisha katika mtihani wake wa marudio katika kozi ya Usimamizi wa Barabara na Usafirishaji anayosomea ya Januari 5, mwaka 2017.

Chanzo: Michuzi Blog

Pia soma


Kwa hiyo serikali imeingiza mapato kutoka na kosa la kutongoza mke?

Msako ufanyike kwa vijana (ben ten) ili mapato yaongezeke
Shubaaaaaamit bin laaaaaana!
 
Nilisoma sehemu some days ago kua rushwa ya ngono inakua judged kama uhujumu uchumi kuanzia sasa
Nadhani sheria yake ndo imeanza kufanya kazi ivyoo
 
Mhadhiri huyu ni baharia watampokea kwa sherehe kwa sababu ni baharia aliyefanikiwa kuchomoka kwenye mdomo wa papa katikati ya bahari kwa kitita cha sh. million 5 taslim.

Mhadhiri huyu baharia amewaomba radhi mabaharia wote duniani na kuahidi kuwa next time atajihadhari sana na mitego inayotegwa na papa hatari wa bahari.
 
Back
Top Bottom