Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
nilikuwa naangalia kipima joto leo cha itv nna imani kuwa huyu ni yule nlimuona kule akitoa hoja zake(i stand to be corrected)..turudi kwenye mada...binafsi niko pamoja na mleta mada kuwa watu wenye ufahamu mkubwa kama hawa ndio wanatakiwa waingie katika nyadhifa za uongozi kwa sababu wataweza kutoa maamuzi sahihi kutokana na ujuzi wao...nifupishe tu na niseme kuwa tunahitaji wahandisi(engineers),madaktari(medical doctors) na wataalamu wengine katika nyadhifa muhimu kama bunge. Ni miongoni mwa makosa wataalamu wengi wanafanya kwa kuacha siasa then wanakaa kulaumu viongozi mara vilaza mara vihiyo wanasahau kuwa wao ndo walikosea kwa kutotafuta uongozi WITO WANGU:let us STOP making STUPID people famous
Amepatia hapa hapa Bongo, Alianza kabla ya 2007 nadhani....chezea bongo weweniliskia anaifanyia Ujeruman,since 2010,,,,hajamaliza
Hapo kwenye red: Unamaanisha Dr. Bashiru yupo kwenye kundi la Dr. Benson Bana; yule mpiga tarumbeta maarufu wa Lumumba? Kama yupo kwenye kundi hili naye hana maana zaidi ya wachumia tumbo.
niliskia anaifanyia Ujeruman,since 2010,,,,hajamaliza
Amepatia hapa hapa Bongo, Alianza kabla ya 2007 nadhani....chezea bongo wewe
Ktk hiyo fani anayo kazi angeenda ichukulia Algeria au Misri, au hapo UDSM ,km Haroub othman angekuwepo angepindhisha hiana za hicho chuo kumsaidia...
Ujerumani ktk hizo fani wana watu makini sana, na wanajua madhara ya watu wenye fika zilizopinda kama za huyu jamaa...pengine ktk maandishi yake kaandika ujinga unaohatarisha image ya Ujerumani, na western civilization kwa kiasi cha kufanya research yake ionekane km imeandikwa na Osama.
Ndio ujinga wa watu wetu , wanaojiita wasomi, Irresposnibility ni adui wa wenzetu.Ndio maana hapo UDSM hawawezi kuwa wazalendo kw akiasi cha kuleta tafiri sahihi na za kujenga taifa letu.Tafiri za kulipa tiafa letu edge over nchi a ukanda huu na duniani.
hadi leo wanaendesha ujinga tuu, hawajaweza shape politics za ukanda huu kwa kiasic ha Tanzania kuwa na say au kupandikiza watu.Leo Bandari ya Bagamoyo inaweza isiwe na kazi, wenzetu wanataka jenga bandari ya Kisasa sana kwa Africa nzima Kenya.Kenya itaendelea kuwa na edge over us.

Nicholas nilishawai kusoma mahali wasomi inaonekana wanaishauri vizuri sana serikali,ila wanasiasa wanawapuuza
Bwana Bashiru Ally ni miongoni mwa vijana waliofuzu makuzi ya kitaaluma na kijamii kutoka kwa watu wanaoheshimika na historia ya nchi hii; ile ambayo haikuhifadhiwa rasmi vitabuni. Enzi zetu tukiwa masomoni Bwana Bashir na Omar Ilyas ni miongoni mwa vijana waliopendwa na kujiweka karibu na Marehemu Prof. Haroub Othman (former VC-UDSM). Hali halisi inajidhirisha kuwa Bwana Bashir ndiye aliyefuzu kuyashika vema mafunzo na weledi wa Prof. Haroub Othman. Baada ya kuachana kitambo, miaka ya hivi karibuni nimekuwa nikimsikiliza, kumuona au kumsoma kupitia vyombo vya habari. Mara nyingine kwa bahati tumewahi kukutana kwenye mikutano.
Bwana Bashiru Ally, Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Hivi majuzi Bwana Bashiru alishiriki mjadala wa DW juu ya miaka 15 ya mapambano dhidi ya ugaidi. Msimamo na utetezi wa mtazamo wake juu ya jinsi vita hii inavyopiganwa nakubaliana nao kwa asilimia 100Mbinu zinazotumika kupambana na ugaidi ni za kigaidi na hivyo zinazidisha ugaidi
Bwana Bashiru ni mtu aliyejipambanua kuwa na msimamo usiyoyumba katika masuala ya Kitaifa na yale yote anayoyaamini baada ya kuyatafiti kwa kina. Si mtu wa papara na kuropoka. Hisia zake juu ya jambo lolote hazijathibitika kufungamana na imani au itikadi. Kiufupi ni mtu-huru, mwenye fikra chanya kwa mustakhabari wa jambo lolote analoshiriki kulitenda au kulipendekeza. Tuna uhaba wa watu wenye sifa hizi katika utungaji wa sera na kuisimamia serikali. Kumuacha aendelee kuongea na makaratasi au kuwasilisha hoja zake kwa Power Point mikutanoni na kisha akitoka ukumbini hakuna wa kuzitekeleza ni matumizi mabovu ya rasilimali watu wa nchi hii.
Ili Taifa liweze kunufaika na weledi wa Bwana Bashiru, naomba ashawishiwe kujiunga rasmi na siasa za majukwaani na atafutiwe jimbo ili kuanzia 2016 inshallah Taifa linufaike na vipawa vyake. Binafsi sijali atajiunga na CHADEMA, CUF, NCCR, TLP, n.k ilimradi tu asijiunge na ccm, mahali ambako mawazo mapya na utendaji ni dhambi. Akitaka Jimbo nitamchagulia Bukoba Vijijini na nitakuwa tayari kuanza kumpigia kampeni. Naamini maeneo yenye wapiga kura wengi kama Ibwera na Katoro hatutakuwa nahaja kabisa ya kupita kupiga kampeni.
Eid Mubraak!
Cc: FaizaFoxy, Ritz, omar Ilyas, njiwa, Nivea
Ni kwa sababu ni maeneo ya watu wenye msimamo ambao walikwisha iva kimageuzi siku nyingi sana.....why Ibwera na Katoro, na si kwingine? ....
Mbona Wilfredy Lwakatare naye kwao ni Ibwera na hilo watu haliwashtui? Enewei sababu nimeitoa hapo juu.Bw. Omutwale, ulipokosea hadi watu wakahisi mambo mengine juu ya msomi Bashiru ni pale uliposema kwamba maeneo kama Ibwera na Katoro haitaji kupiga kampeni....
Bw. Omutwale, ulipokosea hadi watu wakahisi mambo mengine juu ya msomi Bashiru ni pale uliposema kwamba maeneo kama Ibwera na Katoro haitaji kupiga kampeni. Nafahamu haya ni maeneo ni ngome juu ya uislam pale bukoba na mkoani kagera kwa ujumla ingawa inawezekana pia ndipo anapozaliwa msomi huyu lakini kwanini hukufafanua vizuri juu ya maeneo hayo na kutohitajika kwake kufanya kampeni. Hivyo umeruhusu wachangiaji wanaoyajua maeneo hayo wamuhusishe na imani yake ingawa sio dhambi pia kukubalika eneo fulani kwasababu hata kwa idadi yao wanahitaji kutengeneza mwakilishi hata ikibidi mwakilishi mwenyewe si mwenye weledi lakini atatatetea imani yao
Ni kwa sababu ni maeneo ya watu wenye msimamo ambao walikwisha iva kimageuzi siku nyingi sana.
Mbona Wilfredy Lwakatare naye kwao ni Ibwera na hilo watu haliwashtui? Enewei sababu nimeitoa hapo juu.
Kakodi watu wa kumsifia huyo imamu wako wa msikiti!Tunawasha taa ili kuondoa mwanga au tunaondoa giza kwa kuwasha taa?....dalili ya kukosa hoja!
uliposoma hii post ulielewa?
Namjua tangu mwaka 1997, alikuwa anakaa Hall IV na mpemba mmoja anaitwa Salum. Huyu jamaa ni mzinzi sana, hafai hata kidogo!
Namjua tangu mwaka 1997, alikuwa anakaa Hall IV na mpemba mmoja anaitwa Salum. Huyu jamaa ni mzinzi sana, hafai hata kidogo!
Alimzini dada yako?'