mh!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mh!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Slave, Jan 5, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mh.jpg

  bora hata zile za chini ya mwembe kuliko hizi za chini ya mbuyu.
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hii ndo Tanzania ye2 bana!!
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ila baadhi yetu hawaamini kama kuna wa tz wanasomea chini ya mbuyu.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Zinatisha,mwembe una kivuli angalau.
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  watanzania bwana nia ya kuwa na elimu tunayo ila basi tu aliye juu hamuoni aliye chini.
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  miaka 50 ya uhuru ,Tmethubutu tumeweza na tunasonga mbele
   
 7. k

  keke Senior Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kuna watu wanasoma kwa shida sana....
   
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  gharama za sherehe zingetosha kujenga shule.anagalao nyumba za tope huko vijijini.
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nia wanayo ila uwezo hawana.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  chaguo ni letu.....kama tunataka kuepukana na huu upuuzi!!
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  tabu tunaogopa kuitwa wakorofi.
   
 12. magilu

  magilu Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daaaaah hii ni nouma mazeee!!!!
   
 13. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ni zaidi ya noma.eti hapo tunasomesha watoto tunategemea tuje kupata ma rais,mawaziri,wabunge,bila shaka hata mwalimu anakuja katandika mnazi kwanza ili kupunguza stress.
   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona haujasema ni maeneo gani. Ujenzi wa shure sio mpaka Serikari. Nimipango ya kijiji/eneo husika. Then serikari inaassist tu.
   
 15. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  unaona hao watoto.basi ni kijiji kizima hicho.
   
 16. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Usidanganyike kwa mbwembwe hizo za kikauli za wachovu wanasiasa wenu. Kaa chini inamisha kichwa, fumba macho,taratibu inua kichwa na jiulize swali hili: HIVI KODI NAYOLIPA NA MICHANGO MINGINE PIA PESA TOKA NCHI RAFIKI ZINAISHIA WAPI? Then vuta pumzi kubwa kak.....joe ulele!
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ama kweli tunasonga mbele.
   
Loading...