Mh. Zitto respect...

Zitto for presidency 2015
Tunaweza kubadilisha katika FULL STOP

hapa kuna kazi kweli kweli! Hivi na wewe (tume ya katiba) leo hii unamuunga mkono zitto na waki www ni mpingaji mkuu wa chadema na ni kada wa ccm kwani even hata kwenye thread zako huwa unaiponda san cdm na kuisifia ccm!
Chadema kuweni makini kwani ukiona hata makada wa ccm wanmuunga sana zitto mkono na wakati yupo upinzani basi hapo ndipo pa sisi wanamageuzi wa cdm kumtafakari na kuwa naye makini huyu zitto kwani akiwa rais basi ujue ndo mwsho wa cdm
KWANINI PRO CCM WENGI WANAMUUNGA MKONO ZITTO KULIKO SLAA?'
 

Hata Mbeya na Songea tunamkubali sana, lakini bila unafiki kama anataka kuwa rais ana safari ndefu ya kujirekebisha. Kwanza aamini katika team work. lazima afahamu kuwa CDM inakuwa haraka sana hivyo kuzungumzia ukaskazini ni story iliyopitwa na wakati hata kama waanzilishi ni watu wa kaskazini. Bado namwona kama hazina kubwa kwa CDM ila awe na subira katika kutoa matamko ambayo wengi yanatufanya tuwe na mashaka naye. Kwa hali ilivyo kama front itabidi twende pamoja na wengi lakini wenye macho wanajua kinachoendelea.
 
Baadhi yenu mna kazi kweli kweli...na bado !

hivi ww bado 2 huwa una muunga mkono zitto? Inamana uchafu anaoufanya zitto na ww unaufurahia?
Enewei tusiongee sana but kikubwa kwa watu kama ww wanaofata mkumbo hovyo dawa yenu tutakutana kwenye kamati kuu kipindi utakapotaka kugombea uongozi wowote wa chama au hata ubunge hapo ndipo utajua kwamba this time tommorow
TUMIA UHURU WAKO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIZURI LA SI HIVYO 1 dAY UTAJUTA LABDA UJE UHAMIE CUF AU CCK! Full stop.
 
kwaio Zito kumbe ni swaiba wa fisadi Rostam??nini kimewaunganisha?

ndio hapo mkuu ujiulize? How comes moto na maji vikapatana? Hvi kweli inakuja kwa huu urafiki wa kushibana kati ya zitto mpin ufisadi na fisadi?
Hapo mimi ndo huwa nachoka sana kuhusu huyu zitto.
 
upo kiisia zaidi kuhusu zito,ingawa dogo anaweza!!! ila urais bado kidogo. namshauri asubiri kidogo.
 
msimfanye Zitto km Christiani Ronaldo, ambaye hajui ni kwanini barcelona wanashinda ktk kila el classico, hajui ni kwanini Messi anakuwa bora kuliko yeye.Hope Zitto hatoingia line kirahisi.Zitto ktk miaka ya Karibuni hawezi ng`aa nje ya CDM.Asipokuwa na Discpline atabaki Ronaldo(Akifunga goli kifua mbele, akifanyiwa faulu ananung`unika, akipewa mic anajisifu yeye na wake zake, anakosa uvumilivu) Kikwete naye wapamabe wake hawakuwa wavumilivu waling`ang`ana kuwa mwalimu alisema bado hajakomaa,kwa hiyo sasa amekomaa.Walipaza sauti nadhani naye pia laimini hivyo.Im not sure km bado anaamini hivyo, pengine akitoka madarakani akipata interview,ktk interview akiulizwa nini kilikuwa kigumu ktk maisha yake anaweza kiri.So displine na uvumilivu unaweza msogeza Zitto meza kuu.Akijipeleka ataondolewa, akikaa nyuma bwana harusi atamwita na kumwambia kiti chake kipo mbele.
BADO NAAMINI ZITTO HAJAPUMBAZWA NA KELELE ZA WANAZI WANAOJIFANYA KUWA WASHABIKI WAKE.KWANI WANAWEZA MWAMBIA YEYE NI KILA KITU.UWEZO WAKE PIA UTAONEKANA KWA KUZUIA PRESSURE ZA HAO WAPAMBE
 
Remarkable! Wote wenyentima nyongo na Mh.ZITTO waachwe waendelee kwani kwa status ya Mh.ZITTO anastahili kuwa na enemies wengi kitu ambacho yeye anatakiwa aendelee kukubaliana nacho kwa ukomavu zaidi wa kisiasa na kiutawala.ONE DAY YES!

Hakuna mwemye Kinyongo na kiongozi Kijana,makini, aliye pikwa na chama makini (CDM). tatizo nikwamba watu wakitoa mambo yao wanayoona Mh.Zitto afanyi vizuri mnasema wana Kinyongo, si kweli. Hapa chakufanya ni Mh. Zitto kuendelea Kuwa dhihirishia kwa vitendo kuwa yeye siyo kama wanavyo dhani ili ONE DAY YES aje kuwa kiongozi mkubwa nchini(Sio Raisi)
 
ndio hapo mkuu ujiulize? How comes moto na maji vikapatana? Hvi kweli inakuja kwa huu urafiki wa kushibana kati ya zitto mpin ufisadi na fisadi?
Hapo mimi ndo huwa nachoka sana kuhusu huyu zitto.

Lazima uchoke kwasababu unatumia nguvu nyingi kufikiria kitu rahisi sana, kwani ni watu wabgapi wana marafiki wanywa pombe wakati wao hawanyu? wangapi wana marafiki wala kitimoto wakati wao wanapinga? naamini na wewe unarafiki ambaye anafaya kitu usicho penda. Kwa hiyo ingawa sina uhakika kuwa Zitto ni swahiba wa Rostam, hakuna tatizo Mpinga ufisadi (Zitto) kua na rafiki fisadi(Rostam) Labda ndo harakati za kumkomboa kama chadema inavyo taka kukomboa watanzania wote.
 
Mtei amefilisika kisiasa kama anataka usawa wa dini kila sehemu aanze na chadema,mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,na wakurugenzi wa wizara orodha haina mwisho.turudi ktk mjadala hoja ni kufilisika kisiasa mtei.zitto yuko sahihi,hata kama wanazi wa chadema hampendi.zitto ndo anaibeba chadema!
 
CHADEMA ni chama makini kilichoanzishwa na kukuzwa na watu makini. Back to Zitto. Huyu kijana ana uwezo mzuri sana.sihitaji kuuchambua uwezo wake hapa.uko dhahiri. Ananitatiza jambo moja ambalo ni sensitive sana. Ni kwa nini hana busara ya kuelewa kwamba pamoja na kwamba amekuwa na mchango mkubwa sana wa kukijenga chama, amekuwa akijiweka pembeni(labda kwa maslahi binafsi) na kutoa matamko binafsi(labda kwa maslahi binafsi) wakati viongozi wengine wakikipigania chama na misimamo yake bungeni na majimboni? Ni kwa nini hana busara ya kuelewa kwamba kwa nafasi na taswira yake chamani na kwa nafasi na taswira ya wazee kama Mtei chamani, alikuwa na jukumu la kuwa makini ayajibu vipi maoni ya mzee Mtei pamoja na yeye Zitto kuwa na haki hiyo kikatiba,ila kwa sababu zake binafsi akatoa statement ambayo ni ya kuleta mtafaruku chamani na hivyo kushusha hadhi ya chama? mengi yanasemekana ila nafasi aliyo nayo inamtosha. Wapo wanaostahili tiketi ya kupigania urais chamani lakini siyo yeye. Na haya ni maoni yangu binafsi.
 
Dogo yupo makini, ni kipanga. Kinachompoza ni tamaa za madaraka ya haraka hii inafanya watu wawe na wasiwasi naye, pia mara nyingine huwa anapingana na msimamo wa chama
chake.
 
I salute the guy na dogo anaweza na anaushawishi na anakubalika sana kwa watu hasa vijana na pia anakipenda chama chake(CDM).Nimeshuhudia jinsi ZITTO alivyokuwa akijituma na kuhaha katika mikoa ya Mwanza,Songea na Mbeya kuhakikisha CDM inashinda viti vya udiwani kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika hapo April,1 mwaka huu na alifanikiwa hata mapokezi yake yalikuwa yanatisha.Uchaguzi wa udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza ulikuwa wa ushindani mkubwa sana na ZITTO bado alijitolea kumalizia harakati zake Mwanza ashuhudie matokeo ya kile alichokihitaji, japo pamoja na lengo lake kutimia alishuhudia pia Wabunge wenzie kucharangwa mapanga na Mamluki wa CCM.
 

Imefika mahali tuwa notify wote wanaompaka mh.ZITTO mafuta kwa mgongo wa chupa,inakuwaje wanamagamba wamsifie? Definately there's something behind him,ZITTO IS/ SHALL BE GROOMED BY CHADEMA FIRST AND PROPER ENEMIES OF HIM ARE WITHIN CDM WHO ARE HIS TEACHERS.
 

tatizo we ni MBUMBUMBU wa siasa zas y unaropoka 2 na reference za ki-fcbk, ww unaongelea hisia za fikra za mtaani, penye ukweli sema ukweli kwani zitto kawa nani hadi tusimkosoe kwa upuuzi anaoufanya CDM kwani huyu mtu huwa ana-undumila kuwili
ZITTO NI JEMBE BUT AJIREKEBISHE.
 

Wee acha ushambenga na unaa,ZITTO NI ZITTO NA CDM NI CDM.HATA AKIONDOKA YEYOTE CDM,CDM SHALL REMAIN STRONG PP IN TANZANIA,WATU WAMEIVA SI KAMA MAGAMBA BANA.UZURI WA BARCELONA HAUHITAJI KOACHER.
 

Ya nini malumbano? Kila raia ana uhuru wa kutoa maoni ama mawazo yake! Nafurahi sana michango yenu wanaJf kwani you are using a stone thrown by CDM enemies to build a foundation of CDM.
 
Zitto anaweza,wanaompinga ni watu wenye chuk binafsi tu na zitto na wanatamani wawe kama yeye
 

Wee acha ushambenga na unaa,ZITTO NI ZITTO NA CDM NI CDM.HATA AKIONDOKA YEYOTE CDM,CDM SHALL REMAIN STRONG PP IN TANZANIA,WATU WAMEIVA SI KAMA MAGAMBA BANA.UZURI WA BARCELONA HAUHITAJI KOACHER.
 

Imefika mahali tuwa notify wote wanaompaka mh.ZITTO mafuta kwa mgongo wa chupa,inakuwaje wanamagamba wamsifie? Definately there's something behind him,ZITTO IS/ SHALL BE GROOMED BY CHADEMA FIRST AND PROPER ENEMIES OF HIM ARE WITHIN CDM WHO ARE HIS TEACHERS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…