Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,870
- 34,357
Chuo cha Ushirika Moshi, Kilimanjaro, Tanzania, 1970s. Yoweri Museveni (sasa Rais wa Uganda) akiwa na mwanae. Wakati huu Yoweri Museveni alikuwa mwalimu katika Chuo Cha Ushirika Moshi. Museveni alikuwa nchini pamoja na wasomi wengine waliokimbia Uganda baada ya Idd Amin kuipindua serikali ya Milton Obote mwezi Januari mwaka 1971.