Mh. Waziri pesa za malipo mradi wa mto Ng'ombe zimeliwa na nani manispaa ya Kinondoni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Ndugu MH WAZIRI HUSIKA

Kuna mradi unaitwa mto ng'ombe serikali ilipita mitaa ya Tandale na kuwambia watu wataamishwa na kuwapa kabisa maelekezo wasijenge wala kukarabati nyumba zao

Wananchi wakafanyiwa evaluation na kuhaidiwa pesa zao kama mlalamikaji mmoja wapo ktk kadhaa

Baada ya muda mwaka jana kukaitisha vikao kadhaa a kuhaidiwa kulipwa pesa zao na kuondoka

Wakahaidiwa kukutana mwezi wa kumi watalipa hela zao na wasijenge wala kuongeza chochote

Mpaka sasa wananchi wanafuatilia kila mtu anapewa sikuyake wakienda hakuna kinachoendelea

Suala tunalooomba mh waziri wekeni wazi kama walivyokuja na kusema hela zimeshaingia basi kama zimeondoka ama ziko transit mtujulishe wananchi tuendele kurekebisha nyumba zetu badala ya mtu kukaa huku ana uwoga lini mnakuja kutuvunjia na kulipa pesa zetu

find attached complaints
 
Inashangaza sana
 

Attachments

  • Screenshot_20170522-124238.png
    Screenshot_20170522-124238.png
    41.4 KB · Views: 22
Nawakilisha
 

Attachments

  • Screenshot_20170522-124250.png
    Screenshot_20170522-124250.png
    35.2 KB · Views: 20
CDN NIPO MKUU UNAKULA MWENYEWE KIZURI KULA NA NDUGUYO..
 
Back
Top Bottom