Mh waziri Juma S. Nkamia

Mh waziri Juma S. Nkamia

Status
Not open for further replies.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Wakati tukisubiri uteuzi wa baraza la mawaziri wetu toka kwa mheshimiwa Rais na kama nilivotupia uzi humu kuwahusu waheshimiwa Mwigulu, Kange na Filikunjombe kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa mawaziri, mwingine mwenye sifa hiyo kwa sasa ni mheshimiwa alhaji Juma S. Nkamia katika wizara ya utamaduni.....
 
Kwi!kwi!kwi! magamba oyeeee!
 
Wameshahonga tiss au wanataka wapitishwe bure bure?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ikiwa hivi nafikiri kazi itakua ngumu zaidi kwa Mh Rais
 
Nasema hivi, kama nkamia atakiwa waziri, nabadilisha uraia nitakywa na uraia wa malawi.ila kama kulimunjombe atakywa waxiri nitampa big heko kikwete
 
Nkamia yupi ambaye haongei na mbwa anaongea na mwenye ubwa
 
Wakati tukisubiri uteuzi wa baraza la mawaziri wetu toka kwa mheshimiwa Rais na kama nilivotupia uzi humu kuwahusu waheshimiwa Mwigulu, Kange na Filikunjombe kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa mawaziri, mwingine mwenye sifa hiyo kwa sasa ni mheshimiwa alhaji Juma S. Nkamia katika wizara ya utamaduni.....

Hongera! Nakumbuka wakati awamu ya pili imelega watangazaji wote wa RTD walihama. Juma karudi na kupata uWaziri! Duh! Nchi inajua kweli kuficha madudu yake. Ndiyo sababu wote walikuwa wanamwogopa Mwalimu, haya yasingekuwapao.
 
Nasema hivi, kama nkamia atakiwa waziri, nabadilisha uraia nitakywa na uraia wa malawi.ila kama kulimunjombe atakywa waxiri nitampa big heko kikwete

We jamaa vipi? Ebu uwe unajaribu ku.edit kabla hujapost, au ndo div5?
 
Jamani mi sioni aliyebaki huko ccm wa kuifaa wizara ya habari na michezo yetu ka huyo ngamia. Kama jina lake lilivyo naona ingemfaa sana hiyo wizara kwani hasemi na watu husema na wenye mbwaa tu. Wanyama wanadharauliana sana.
Ampe tu tumechoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom