Mh. Wassira apokelewa kwa kishindo Bunda

Mh. Wassira apokelewa kwa kishindo Bunda

Mh, hivi huyu jamaa anamaanisha kuwa watashangilia na kumfanyia mapokezi makubwa au???, make naona muda aliouweka mleta maada bado haujafika!!!!!!.
 
Waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na iratibu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bunda mkoan Mara jana tarehe 19/20/2024 ameshitushwa baada ya kukutana na mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kutokea jimboni humo ambayo yaliandaliwa na wananchi kwa malengo ya kumpongeza shujaa wao juhudi kubwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanikisha upatikanaji au kukamilika kwa katiba inayo pendekezwa.

Hata hivyo mh. Wasira kwa furaha na kujiamini alifafanua baadhi vipengele vya katiba vikiwemo ukomo wa ubunge,maadili ya viongozi nk na wananchi walifurahishwa na ufafanuzi huo.
wewe nae ni mwehu uliyepost.huyo mwisho wake mwaka huu mwakani atafungasha virago kazeeka hana jipya huyo gamba
 
Waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na iratibu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bunda mkoan Mara jana tarehe 19/20/2024 ameshitushwa baada ya kukutana na mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kutokea jimboni humo ambayo yaliandaliwa na wananchi kwa malengo ya kumpongeza shujaa wao juhudi kubwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanikisha upatikanaji au kukamilika kwa katiba inayo pendekezwa.

Hata hivyo mh. Wasira kwa furaha na kujiamini alifafanua baadhi vipengele vya katiba vikiwemo ukomo wa ubunge,maadili ya viongozi nk na wananchi walifurahishwa na ufafanuzi huo.

kwanza tuangalie hii tarehe aliyopokelewa kwa kishindo je hapo WASIRA atakuwa na umri gani kama hata kufa? na je atakuwa bado kang'ang'ania CCM?
PILI: UKIFURAHIA KUMPOKEA KWA KISHINDO USISAHAU PIA KUWEKA KUMBUKUMBU KWENYE UBONGO WAKO VILEVILE KUWA UTAMPOKEAJE ATAKAPOANGUKA KWA KISHINDO KAMA ATAKUWA NACHO HICHO KISHINDO.
 
Wasira atakuwa alikuwa ameenda kuliaga jimbo lake, kwa sababu baada ya 2015 jimbo litakuwa la ESTER BULAYA na mh. Anategemea kwenda kugombea Upresident pale GOMBE.
 
Waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bunda mkoan Mara jana tarehe 19/20/2014 ameshitushwa baada ya kukutana na mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kutokea jimboni humo ambayo yaliandaliwa na wananchi kwa malengno ya kumpongeza shujaa wao juhudi kubwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanikisha upatikanaji au kukamilika kwa katiba inayo pendekezwa.

Hata hivyo mh. Wasira kwa furaha na kujiamini alifafanua baadhi vipengele vya katiba vikiwemo ukomo wa ubunge,maadili ya viongozi nk na wananchi walifurahishwa na ufafanuzi huo.

wapi alipokuwa na watu wengi ambao unawasema wakati alikuwa na watu wachache kwenye ofisi ya ccm, acha kuwa wakala wa uongo.
 
That awkward moment when msemakweli anaamua kusema @uongo!!

Hivi kumbe hadi Wasira naye ana-ladypepeta zake humu?
:msela::msela:
 
Last edited by a moderator:
Amepokelewa kwa maandamano makubwa ili iweje sasa.
Kuelekea 2015 TUTASIKIA na KUONA mengi.
 
Hakuna kitu kama hicho hapa bunda,kwa kuweka kumbukumbu sawa na kuwa;ALIPOKELEWA NA WATU WASIOZIDI 20 KATIKA OFISI ZA CCM NA SI UMATI WA WATU KAMA MLETA MADA ANAVYOTAKA KUPOTOSHA. Moto wa Vicent Nyerere umemkurupua kama panya waliwekewa maji kwenye shimo lao . Kama anabisha mwambieni atupie picha,ni aibu!
 
Wassira ni hazina ya Taifa, Pia ni bingwa wa siasa za kistaarabu!
 
Back
Top Bottom