Mh. Wassira apokelewa kwa kishindo Bunda

Mh. Wassira apokelewa kwa kishindo Bunda

Waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bunda mkoan Mara jana tarehe 19/10/2014 ameshitushwa baada ya kukutana na mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kutokea jimboni humo ambayo yaliandaliwa na wananchi kwa malengno ya kumpongeza shujaa wao juhudi kubwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanikisha upatikanaji au kukamilika kwa katiba inayo pendekezwa.

Hata hivyo mh. Wasira kwa furaha na kujiamini alifafanua baadhi vipengele vya katiba vikiwemo ukomo wa ubunge,maadili ya viongozi nk na wananchi walifurahishwa na ufafanuzi huo.

Wassira? mwongo maana huyu bwana Tyson hana mvuto kabisa!
 
Bunda ipi maana anakubalika Bunda vijijini huko kwa wafuga mbuzi, kondoo na ng'ombe ila mjini duh!! Sheedah
 
image.jpg image.jpg image.jpg image.jpg image.jpg image.jpg image.jpg image.jpg
Actions speaks more louder than words.
 
Join Date : 25th September 2014
Posts : 34
Rep Power : 310
Likes Received0
Likes Given0
 
Wasira kiboko ya ukawa vyama vitatau vilishindwa na mtu mmoja kweli wasira kiboko yao.
 
Maranyingi mh wasira huwa anatafakar juu ya kazi kubwa anazofanya nch hii hasa kuwaelinisha wananch juu ya mustakabali wa nchi yao.hiyo so hoja lete hoja
 
Back
Top Bottom