Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

Slaa hakujali alipotokea cha ajabu yy ni DR ana Ph.D. Lakini alirubuniwa na form six div zero January akachukua Pesa Huku Mwakyembe akimfundisha maneno ya kutorokea , Yule Binti mchanga alitaka maisha na Pesa ikabidi Slaa atangaze njaa ndipo Membe akatumia fursa Kwa kumjaza Pesa za marehemu Gadafi na NIDA akatoroka Ukawa na kwenda kuishi Canada
Una uhakika gani kwamba alichukua pesa.?
Tuletee hapa ushahidi wotote cheque au risiti ya bank ambayo inaonyesha Dr amelipwa.
Mimi siku zote nimejiwekea siwezi kuamini kitu bila kupata ushahidi mkuu.
 
Unaeneza uongo, alifukuzwa au alijitoa mwenyewe! Sisi tunasonga mbele, bati moja kwenye nyumba haliwezi kusababisha nyumba nzima kuezuka!
Dr Slaa alitoroka baada ya kumrubuni na madalali wa siasa ambao walitumwa na Membe ambaye ni Adui Namba moja wa Lowasa .
 
Hakuna mtu aliyejitolea kujenga CHADEMA kuliko Dr Slaa, lakini Watanzania ni mashahidi wa namna alivyoshughulikiwa. Zitto, Kitila Mkumbo wako wapi? Chacha Wangwe ndio usisema kabisa. Na sasa Joyce Kiria anaonja joto ya jiwe baada ya kukataa UKUTA kulinda kulinda familia yake! Swali la msingi ambalo haliulizwi ni hili, CHADEMA ni nini na inapagania nini?
CHADEMA ni chama cha siasa kilichosajiriwa na wanachopigania ni democracy yetu watanzania,,,,,,ile ambayo JK alituacha nayo. Chukulia mfano kipindi cha Mkapa sio kwamba ufisadi haukuwepo, ulikuwepo ila kwakuwa democracy ilikuwa bado ipo chini wananchi wengi hatukuweza kujua kinachoendelea. Ila kipindi cha cha kikwete tumejua mengi sababu democracy ilikuwa juu sana. Sasa basi bila democracy nchi yetu haitaenda viongozi wetu watajisahau sana. #freedomOfspeech
 
Hakuna urafiki wa kudumu ktk siasa .kuna maslahi tu.hata huko ccm. Wapo waliotoswa kwa kwenda tofati misima ya wakubwa
 
Una uhakika gani kwamba alichukua pesa.?
Tuletee hapa ushahidi wotote cheque au risiti ya bank ambayo inaonyesha Dr amelipwa.
Mimi siku zote nimejiwekea siwezi kuamini kitu bila kupata ushahidi mkuu.
Ushahidi wa Richmond unao ? Ushahidi wa escrow unao ? Chenji ya Rada?, chenji ya bunge la katiba?kivuko kibovu, mabehewa mabovu, nk ? Kubali ukatae Dr Slaa alinunuliwa na Membe Pesa alipewa cash maana zile Pesa za marehemu Gadafi zipo kwenye handaki na Slaa hawezi kukubali cheque au rist ili upate ushahidi .
 
we unatoa ushauri kama nani na unamshauri nani?kaishauri serikali yako ambayo Lisu anawasumbua waachane naye na wajikite kwenye maswala ya kuwaletea wananchi maendeleo ili hata huyo Lisu asiongee tena.
 
Ww mtoa post kumbuka lissu cyo ndugu yako yule ni mwanasheria na mwanasiasa kwa hiyo ile ni kazi yake na ndo anakula kupitia siasa kwa hiyo unataka akale wapi asipofanya siasa.fikiri kwa undani cyo unafikiri kwa juu juu hapa.we vp
 
Ushahidi wa Richmond unao ? Ushahidi wa escrow unao ? Chenji ya Rada?, chenji ya bunge la katiba?kivuko kibovu, mabehewa mabovu, nk ? Kubali ukatae Dr Slaa alinunuliwa na Membe Pesa alipewa cash maana zile Pesa za marehemu Gadafi zipo kwenye handaki na Slaa hawezi kukubali cheque au rist ili upate ushahidi .
Kijana naona unatapatapa, sasa hayo mambo ya Tegeta escrow na Dr kuna uhusiano gani.
Usiishi kwa dhana mkuu.
No research,no right to speak.
 
Slaa hakujali alipotokea cha ajabu yy ni DR ana Ph.D. Lakini alirubuniwa na form six div zero January akachukua Pesa Huku Mwakyembe akimfundisha maneno ya kutorokea , Yule Binti mchanga alitaka maisha na Pesa ikabidi Slaa atangaze njaa ndipo Membe akatumia fursa Kwa kumjaza Pesa za marehemu Gadafi na NIDA akatoroka Ukawa na kwenda kuishi Canada
Acha uongo weka akiba ya maneno je Dr slaa akirudi utamsafisha??
 
Sasa aliyemfukuza dr. Mihogo ni nan? Walirubuniwa hao wala usidanganyike.
Dr mihogo hakufukuzwa na mtu Bali alitoroka baada ya kununuliwa na Membe Kwa Pesa haramu za marehemu Gadafi , kuna wajanja wa CCM yaani madalali wa siasa walipiga Pesa kupitia huo mladi wa kumrubuni Slaa ( kufa kufaana)
 
Kijana naona unatapatapa, sasa hayo mambo ya Tegeta escrow na Dr kuna uhusiano gani.
Usiishi kwa dhana mkuu.
No research,no right to speak.
Wewe si umesema unapenda ushahidi ? Nikakupa mifano ebu jiulize tokea lini Rushwa ikawa na rist ?
 
Mkuu mimi sina undugu na hao watu wa Lumumba wala UKUTA.
Lakini kumlinganisha Dr na LISU ni kumvunjia heshima mzee wetu....
Heshima gani anayo huyo kibabu kwanza alipora mke wa mtu pili alitoroka vita Kwa kuendekeza njaa Hana heshima yeyote labda aheshimiwe na wale waliomnunua Kwa Pesa haramu zilizotakatishwa kupitia kwake.
 
Wewe si umesema unapenda ushahidi ? Nikakupa mifano ebu jiulize tokea lini Rushwa ikawa na rist ?
Mimi nataka ushahidi sitaki mifano.
Hayo yote unayosema ni mambo yakufikirika mimi na wewe hatujui kama ni kweli au ni uongoo.
Ni kama ile hoja ya kwamba Lowasa ni fisadi,hakuna anayejua ukweli wowote zaidi ya yeye mwenyewe na serikali sisi tunaweza tukasema ni fisadi kumbe ni vice versa.

Siasa ni mchezo mchafu sana mkuu usiamini kila unachoambia,THINk.!!!
 
Heshima gani anayo huyo kibabu kwanza alipora mke wa mtu pili alitoroka vita Kwa kuendekeza njaa Hana heshima yeyote labda aheshimiwe na wale waliomnunua Kwa Pesa haramu zilizotakatishwa kupitia kwake.
Una uhakika gani kwamba amenunuliwa mkuu.?
Hebu tujuze na sisi tufahamu.
 
Huwezi kumlinganisha Tundu Lissu na Dr. Slaa. Tundu Lissu anajitambua.
Unasema hivyo kwa sababu yuko cdm. Akitoka cdm majibu yatakuwa siyo hayo. Nae Dr slaa hajitambui kwa sbb tu katoka cdm.
Sishangai kwa majibu hayo, kwa Lowasa alivyokuwa ccm alikuwa ni fisadi papa. Amehamia cdm amekuwa kipenzi cha mamillioni ya watu. Kwa kusafisha nyie ni mwisho. Hata mavi mna uwezo wa kuyatetea kuwa ni juice nzito na tamu sana na mkashinda.
 
Hivi Dr. Slaa alifukuzwa CHADEMA?

Nijuavyo yeye mwenyewe aliamua kuachana namsiasa za vyama baada ya kukosa nafasi ya kugomnea Urais.
 
Kuna watu wanajitoa fahamu balaa uchama ukizidi mtu haishi kuongea pumba kulinganisha juhudi za dk slaa na huyu kibaraka wa dj ni kumshushia heshima dk.
 
Back
Top Bottom