Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

Mh. Tundu Lissu najua kuna watu unawatumikia ukidhani upo nao, la hasha, uko peke yako. Kumbuka Dr. Wilbrod Slaa alivyojitoa muhanga kueneza habari ya fiasadi papa aliyekuja kukaribishwa na ninyi kwa kitita.

Dr. Slaa alikubali kupigwa mabomu, alikuwa na wananchi walala hoi bega kwa bega ktk kuhakikisha nchi inakombolewa toka mikonini mwa mafisadi (kama akina mamvi).

Ila siku aliposema mafisadi hapana ndani ya CHADEMA alifukuzwa na wanachama watiifu wasiotumia akili walianza kumtukana na mpaka leo Dr. Slaa wanamuona ni taka taka tena ni mtu asiyefaa kabisa.

Hata wewe siku ukija kuonesha kweli yako (yaani ukija kukataa kutumwa) basi ujiandae kisaikolojia kutukanwa, kudhihakiwa hata kukutishia kama walivyomtishia Dr. Slaa.

Ila muda bado unao wa kujijenga kisiasa zaidi kuliko kukubali kutumwa tumwa kwa vitu ambavyo havina tija kwa wanachi wa jimbo lako
Huyo ni vuvuzela la cdm muache
 
Hakuna mtu aliyejitolea kujenga CHADEMA kuliko Dr Slaa, lakini Watanzania ni mashahidi wa namna alivyoshughulikiwa. Zitto, Kitila Mkumbo wako wapi? Chacha Wangwe ndio usisema kabisa. Na sasa Joyce Kiria anaonja joto ya jiwe baada ya kukataa UKUTA kulinda kulinda familia yake! Swali la msingi ambalo haliulizwi ni hili, CHADEMA ni nini na inapagania nini?
Wakati anagombea urais mwaka 2010 dr Slaa aliwahakishia Watanzania kwamba ndani ya bunge wamepata mtu mwingine teyari wasife moyo "kwa Tundu Lissu kuna akina Dr.slaa kumi"
 
Ile list of shame mwenyewe Dr.slaa alikiri kuandikwa na Lissu yeye akaisoma Tundu ANTIPAS Lissu no nyingine laiti kama MAGUFULI angekua mzalendo wa kweli huyu bwana angekua mwanasheria mkuu wa taifa letu ila kwa kuwa watu wameweka matumbo yao mbele
 
Ni kweli, ila cha ajabu wanachama wa hiki chama mfu hawatumii akili hata kidogo, hawana siasa za kujenga, wao ni kubomoa, na ndiyo maana Lowasa anawaambia waache uanaharakati

Tatizo vijana wanakurupuka
Wameona fasion kuitwa Ukawa
 
Hakuna mtu aliyejitolea kujenga CHADEMA kuliko Dr Slaa, lakini Watanzania ni mashahidi wa namna alivyoshughulikiwa. Zitto, Kitila Mkumbo wako wapi? Chacha Wangwe ndio usisema kabisa. Na sasa Joyce Kiria anaonja joto ya jiwe baada ya kukataa UKUTA kulinda kulinda familia yake! Swali la msingi ambalo haliulizwi ni hili, CHADEMA ni nini na inapagania nini?
Katiba iheshimiwe
 
Nadhani wewe unauelewa ukweli kuhusu Dr ila unajifanya hamnazo. Hauwezi kufanikiwa kutudanganya kwani na sisi tunaijua ukweli. T afuta Jingine labda utafanikiwa kujidanganya mwenyewe. Nahisi wewe ndiye ulikuwa miongoni me a walinzi wake pale sheratoni
 
Yeye kukubali kurubuniwa na lile pashkuna siyo kujidharaulisha?
Ngoja nikueleze kitu ndugu yangu, haya mambo ya siasa ukitaka kuyajadili vizuri na kuyaelewa lazima kwanza akili yako iwe huru usijiweke kwenye upande wowote.
Hivi unaweza kulinganisha mambo aliyopitia Dr Slaa katika kuijenga CHADEMA na mtu yeyote ndani ya hicho chama.
Tatizo kubwa ambalo nyie vijana wa UKUTA mnaona mtu akitofautiana na mawazo yenu ni msaliti kitu ambacho siyo kweli.....Siku zote watu wanasema AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
 
Back
Top Bottom