Mh. Tendwa jikaze ur a Man... Be a MAN

Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
Kuna ubaya gani kwa tendwa kujumuishwa humu ? Yeye si ndio refarii wa siasa za Bongo ?
Hata yeye si inabidi asimamie kweli kama huyo mmama na si kubebana kila siku ?
Hata kama yeye si Mwenyekiti wa NEC ila ana nafasi yake kubwa kwenye siasa za Tanzania
 
Mbona sikusomi vizuri? kama ni mh Tendwa ni msajili wa vyama vya siasa na si mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania?

Jaji lewis makame ndo wa kufananishwa na huyo mmama sio Tendwa. Tendwa ni kidume cha mbegu bwana.
 
Back
Top Bottom