BABA AKO KACHANGIA SH NGAPI?Habari wakuu wa jukwaa polen na majukumu ya hapa na pale weekend ya leo iko njema kabisa ivi huyu wazir mkuu msitafu ndugu sumaye pesa zote alizotuibia sisi wananchi walala hoi alizipeleka wapi mbona leo katoa zawadi ndogo sana huko shinyanga sement mia moja tu hata kutoa na mabati hakuna jaman huyu wazir mkuu msitafu hata aibu hana sasa hiyo mifuko mia watagawanaje hao wahanga siku nyingine awe anaona aibu
Habari wakuu wa jukwaa polen na majukumu ya hapa na pale weekend ya leo iko njema kabisa ivi huyu wazir mkuu msitafu ndugu sumaye pesa zote alizotuibia sisi wananchi walala hoi alizipeleka wapi mbona leo katoa zawadi ndogo sana huko shinyanga sement mia moja tu hata kutoa na mabati hakuna jaman huyu wazir mkuu msitafu hata aibu hana sasa hiyo mifuko mia watagawanaje hao wahanga siku nyingine awe anaona aibu
Hawa wahasibu wanaopitisha malipo ya kulipa post kama hizi sijui wamesoma wapi? Hao ndo wanaokariri idadi ya samaki ziwa Victoria?Habari wakuu wa jukwaa polen na majukumu ya hapa na pale weekend ya leo iko njema kabisa ivi huyu wazir mkuu msitafu ndugu sumaye pesa zote alizotuibia sisi wananchi walala hoi alizipeleka wapi mbona leo katoa zawadi ndogo sana huko shinyanga sement mia moja tu hata kutoa na mabati hakuna jaman huyu wazir mkuu msitafu hata aibu hana sasa hiyo mifuko mia watagawanaje hao wahanga siku nyingine awe anaona aibu