Mh. Sophia Mwakagenda(CHADEMA) atunukiwa Tuzo ya Mwanamke Bora

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,039
114,489
Taasisi ya Alhad International ya Dubai UAE imemtunuku mwanadada Sophia Mwakagenda tunzo ya mwanamke bora aliyechochea mafanikio ya wanawake Tanzania

Sophia Mwakagenda ni Mbunge viti maalumu Chadema. Chadema ina hazina ya kinamama

Kwa niaba ya wanaJF wote na wapenda maendeleo ninakupa hongera sana
 
Sophia Mwakagenda ni Mbunge viti maalumu Chadema

Kwa niaba ya wanaJF wote na wapenda maendeleo ninakupa hongera sana
Hongera kwake, ila sio mwanadada huyu ni mwanamama.
 
Ni Mbunge wa Rungwe - huyu hapa: Bunge Polis. Hongera zake.
Sio mbunge wa Rungwe, ni mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Mbeya ingawaje anaishi Dar, mume wake ni Hebron Mwakagenda aliwahi kujikita ubunge kura za maoni ndani ya CHADEMA jimbo la Segerea mwaka 2015
 
0.50009600%201486014855.png
 
Taasisi ya Alhad International ya Dubai UAE imemtunuku mwanadada Sophia Mwakagenda tunzo ya mwanamke bora aliyechochea mafanikio ya wanawake Tanzania

Sophia Mwakagenda ni Mbunge viti maalumu Chadema. Chadema ina hazina ya kinamama

Kwa niaba ya wanaJF wote na wapenda maendeleo ninakupa hongera sana
Hebu orodhesha haya mafanikio,sababu hizi tunzo zingine ni za urafiki wa kufanikisha dili zao,na hao Alhad kazi zao ni zipi?sababu siku hizi kuna SACCOS nyingi zinatoa tunzo.
 
Sio mbunge wa Rungwe, ni mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Mbeya ingawaje anaishi Dar, mume wake ni Hebron Mwakagenda aliwahi kujikita ubunge kura za maoni ndani ya CHADEMA jimbo la Segerea mwaka 2015
Nimezingatia taarifa rasmi kutoka chanzo sahihi; fuata hiyo link: Bunge Polis
 
Hongera Sophia Hebron Mwakagenda kwa tuzo hii, Mungu azidi kukuinua na kukubariki .kazi yako izidi kuonekana
 
Back
Top Bottom