KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
Usikurupuke kupost pumba sio lazima uchangie. Wakiwa na personal friendship Dr. hatomuuliza satta hints za kuingia IKULU na "namna ya kutekeleza sera zao"? maana sera alizotumia dr. Mwaka jana ndizo alizotumia satta. Think before you post.Mawazo ya kitoto kabisa. Hapa lililo la msingi ni sera siyo urafiki. Personal freindhip cannot determine a political stance that one takes. Parties have to have platforms on which to push their agenda. Wala Satta hakuishi kwa maandamano!
umeongea point nzuri ila mwishoni umemwaga mipumba mitupu.Mawazo ya kitoto kabisa. Hapa lililo la msingi ni sera siyo urafiki. Personal freindhip cannot determine a political stance that one takes. Parties have to have platforms on which to push their agenda. Wala Satta hakuishi kwa maandamano!
SITA ni mnafiki namba moja Tanzania
Nimeona mambo yanavyokwenda Zambia na nafananisha na ahadi za Mh. Slaa wakati wa compaign and I can see that aliyoyasema yanawezekana. Zambia yanaonekana aliyoyasema Sata kwamba atatekeleza ndani ya siku 90.
Ombi langu ni kwa Mh. Slaa kujenga uswaiba na Mh. Sata kwani hawa ndie wazalendo wa kweli wenye moyo wakuzikomboa nchi zetu. Ufisadi ndani ya sisem na ememdi ni kama mapacha. Kuna culture of impunity.
Criminals get away with it as long as they are friends with the leaders. Just a simple question, Hosea wa Takukuru anafanya kazi gani leo hii?
Mama /dada, Huyu ndugu amesema ''SATTA''' yule kamanda wa Zambia mpya. Achana na huyu mndengereko sitta,full unafiki.SITA ni mnafiki namba moja Tanzania