BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Amesema hayo katika kipindi cha duru za siasa StarTV kwani imeshindwa kabisa kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya nchini.Pia anategemea raisi mwaka 2015 ni yule anayepita na kugawa gawa fedha hovyo hovyo wanafiki wanamsupport!Msikose Jumapili saa 4:30 asubuhi kuangali akipindi hicho