Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
By Mtatiro namnukuu
Wapo mawaziri wana roho na utu mkuu sana. Mmojawapo ni # GeorgeSimbachawene . Nimempigia usiku huu kumpa malalamiko ya Mwalimu mmoja ambaye amezungushwa mshahara wake kwa miaka kadhaa na yuko kazini FULL TIME. Immediatelly waziri akaomba nimuunganishe na Mwalimu husika na haraka. amemuelekeza Mwalimu tarehe ya kufika ofisini kwake ili jambo lake litatuliwe kwani amezungumshwa mno na watendaji wa Halmashauri mojawapo ambayo imekataa kukamilisha utekelezaji wa maelekezo ya TAMISEMI kuhusu mshahara wake. Pamoja na mambo kadhaa ambayo hatuyaungi mkono serikalini, hili la baadhi ya mawaziri PUNCTUAL, WASIOJIKWEZA, WENYE UTU n.k. ni kati ya mambo muhimu yanayoweza kutunza utu wetu na kulinda tofauti zetu.
Natoa credit kwa Mhe. Simbachawene na mawaziri wazito wajifunze kwake.