Mh. Salim Ahmed Salim ni somo tosha

Mh. Salim Ahmed Salim ni somo tosha

m2020

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
979
Reaction score
1,354
PAMOJA NA KUFANYIWA FITINA KUBWA NA MTANDAO WA KUMUINGIZA JK IKULU 2005 WAKATI WA UCHAGUZI MKUU BADO MZEE HUYU AMEENDELEA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA TAIFA LETU NDANI NA NJE YA CCM.

ALISINGIZIWA MENGI ILI TU ASIWEZE KUAMINIWA NA KUPIGIWA KURA NA WAJUMBE WA MIKUTANO YA KUMPATA MGOMBEA NDANI YA CCM. PAMOJA NA KUFAHAMIKA DUNIANI KOTE NA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA NA KUFANYA KAZI ILIYOTUKUKA, LAKINI BADO AMEENDELEA KUWA MPOLE NA MWENYE HEKIMA, BUSARA NA MAARIFA MENGI.

AMEBAKI NA ATABAKI KUWA SOMO KATIKA UONGOZI WA KISIASA TANZANIA.

HUWEZI KUMLINGANISHA SALIM AHMED SALIM NA BAADHI YA WATU AMBAO HAWANA SIFA LUKUKI ALIZONAZO YEYE LAKINI KWA SASA WATANZANIA TUNATAKA KUAMINISHWA KUWA NI WA KUIGWA NA KUWA NI MFANO MWEMA KATIKA JAMII YETU NA KUWA ETI NI VIONGOZI WANAOFAA KUTUONGOZA.

NACHELEA KUSEMA SITAKI KUAMINI HIVYO KWANI WATU HAO SI WEMA NA SI VIONGOZI. WATU WEMA NI WALE WALIOJAA UVUMILIVU, HEKIMA NA BUSARA. NA SIKU ZOTE HAWAONGOZWI NA TAMAA NA UBINAFSI NA KWAO UONGOZI SI FEDHA.

TUWAOGOPE WATU HAO KAMA UKOMA.

RAI KWAKO MZEE SALIM NA WATANZANIA:
KWA WALE WALIOFANYIA UBAYA MWENYEZI MUNGU ANAWALIPA KWA KUWAPA AIBU. TUMEWAONA NA BADO WATAENDELEA KUAIBIKA MPAKA MAUTI YAWAKUTE LABDA WAJE MAJUKWAANI WATUOMBE RADHI WATANZANIA KWA UBAYA WAO KWAKO.
 
Dr Salim anaelewa kuwa uongozi ni mzigo na ikitokea watu furani wanakuzuia usiubebe lazima utashukuru.
Taifa letu lina ombwe la viongozi wa aina yake!
 
Mkuu kwa nini umeibuka na hili leo
MKUU NAONA SIASA CHAFU ZINAZOENDELEA ZA UKUTA ZINAZOTAKA KUTUAMINISHA KUWA WAO NI JAMII YENYE UCHUNGU NA SISI WANYONGE HUKU TUKIFAHAMU KUWA WAO NI VIBAKA NA BAADHI YAO WAMETOKA CCM KWA KUONGOZWA NA TAMAA ZA KUTAKA KUTUIBIA WATANZANIA.
 
PAMOJA NA KUFANYIWA FITINA KUBWA NA MTANDAO WA KUMUINGIZA JK IKULU 2005 WAKATI WA UCHAGUZI MKUU BADO MZEE HUYU AMEENDELEA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA TAIFA LETU NDANI NA NJE YA CCM.

ALISINGIZIWA MENGI ILI TU ASIWEZE KUAMINIWA NA KUPIGIWA KURA NA WAJUMBE WA MIKUTANO YA KUMPATA MGOMBEA NDANI YA CCM. PAMOJA NA KUFAHAMIKA DUNIANI KOTE NA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA NA KUFANYA KAZI ILIYOTUKUKA, LAKINI BADO AMEENDELEA KUWA MPOLE NA MWENYE HEKIMA, BUSARA NA MAARIFA MENGI.

AMEBAKI NA ATABAKI KUWA SOMO KATIKA UONGOZI WA KISIASA TANZANIA.

HUWEZI KUMLINGANISHA SALIM AHMED SALIM NA BAADHI YA WATU AMBAO HAWANA SIFA LUKUKI ALIZONAZO YEYE LAKINI KWA SASA WATANZANIA TUNATAKA KUAMINISHWA KUWA NI WA KUIGWA NA KUWA NI MFANO MWEMA KATIKA JAMII YETU NA KUWA ETI NI VIONGOZI WANAOFAA KUTUONGOZA.

NACHELEA KUSEMA SITAKI KUAMINI HIVYO KWANI WATU HAO SI WEMA NA SI VIONGOZI. WATU WEMA NI WALE WALIOJAA UVUMILIVU, HEKIMA NA BUSARA. NA SIKU ZOTE HAWAONGOZWI NA TAMAA NA UBINAFSI NA KWAO UONGOZI SI FEDHA.

TUWAOGOPE WATU HAO KAMA UKOMA.

RAI KWAKO MZEE SALIM NA WATANZANIA:
KWA WALE WALIOFANYIA UBAYA MWENYEZI MUNGU ANAWALIPA KWA KUWAPA AIBU. TUMEWAONA NA BADO WATAENDELEA KUAIBIKA MPAKA MAUTI YAWAKUTE LABDA WAJE MAJUKWAANI WATUOMBE RADHI WATANZANIA KWA UBAYA WAO KWAKO.

Utumbo mtupu
 
Sasa kelele za nini na hiyo miherufi makubwa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Lowassa angekuwa na CV kama ya Dr.Salim angetaka asujudiwe.
Kama hujuwi watu na matendo yao bora ukae kimya.Usidanganyike na post tatu katika hii thread na kuanza kuwasemea.
 
Pohamba acha kuchangia upumbavu kila post lowassa lowassa ccm tumewachoka
 
Kama hujuwi watu na matendo yao bora ukae kimya.Usidanganyike na post tatu katika hii thread na kuanza kuwasemea.
Lowassa angefikia robo ya CV ya aliyokuwa nayo Dr.Salim angetaka Team Ukuta wote mumsujudie lakini Dr.Salim ukikutana nae kama mtu hajakueleza huwezi kuamini ukiambiwa huyu kaanza kazi za Ubalozi Egypt akiwa na 21 age, Katibu Mkuu wa Muda mrefu zaid OAU, Waziri Mkuu wa Mwisho wa Mwl Nyerere, Waziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje na kubwa kuliko katika utumishi wake huo nyeti wa takriban miaka 50 hajawahi kuwa walau na tuhuma za Ufisadi na Uadilifu. Hata alipozushiwa kumuua Mzee Karume na Genge la Wanamtandao Chini ya Uenyekiti wa Mjumbe wa CC ya Chadema Ndg Edward bado Salim alibaki mtulivu akiamini wakati utamtetea na kweli umemtetea
Mwl Nyerere aliamini huyu anafaa kuwa Rais kabla ya Ally Hassan Mwinyi 1985
Mwl Nyerere akarudia kuamini tena kuwa anafaa kuwa Rais kabla ya Benjamin William Mkapa 1995.
Warithi wa Mwl Nyerere akina Warioba,Shivji na Butiku waliamini tena Salim anafaa kuwa Rais kabla ya Jakaya Kikwete 2005.

Wewe bado unadhan salim utamfananisha na Mwanasiasa gani hapa Tanzania? au kwa kuwa hana Makundi ya kumsifia kwny magazeti na mitandao?
 
Kura zinapo amua uvumilivu unakuwa mkubwa ila mtu mmoja au baadhi ya watu wanapowaamulia watu wengine uvumilivu lazima uyeyuke kama samli kwenye kikaangio cha moto.
 
Binafsi ninamheshimu sana ndugu Salim A. Salim. Anastahili kupongezwa kwa jinsi alivyokuwa mtulivu hata walafi wa madaraka walipomshambulia yeye binafsi.

Lakini yeye pia kama walivyo viongozi wengi wastaafu, namuona kama ana kasoro moja mbaya.... Hana ujasiri wowote wa kusimama hadharani akatetea wananchi wanyonge wanapoonewa na kudhulumiwa.
 
Nilijua "m2020, post: 17012021, member: 374894"]MKUU NAONA SIASA CHAFU ZINAZOENDELEA ZA UKUTA ZINAZOTAKA KUTUAMINISHA KUWA WAO NI JAMII YENYE UCHUNGU NA SISI WANYONGE HUKU TUKIFAHAMU KUWA WAO NI VIBAKA NA BAADHI YAO WAMETOKA CCM KWA KUONGOZWA NA TAMAA ZA KUTAKA KUTUIBIA WATANZANIA.[/QUOTE]
Nilijua tuu hitimisho lako ni UKAWA. Kama unakiri kwamba kuna watu walumchafua kwenye chama chenu je wamechukuluwa hatua gani?
 
Kwa kuwa mlichagua wenyewe siasa za vyama basi mjue UKUTA haukwepeki
 
Kuna watu wasipoteuliwa wanahama Vyama na kulazimisha kugombea wakiamini wao ni bora zaidi!
 
Back
Top Bottom