Mh. Raisi tunaomba futa pia na sherehe za mwenge

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,865
782
Mh Rais
Tumefurahi kwamba umefuta sherehe za muungano na ile hela imekwenda kufanya kazi za muhimu.....Tumesikia kuna wadau wameaza kujiandaa na sherehe za kuwasha Mwenge...kwa kweli kwa mtazamo wa baadhi yetu hizi nazo hazina tija kabisa......tena ndiyo tunatamani ungezifuta mapema kuliko sherehe nyingine zote!!!Hela na nguvu inayotarajiwa kutumika ihamishiwe kwenye shughuli nyingine za maendeleo!
Nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom