Itakuwa anatafuta mkandarasi wa kuvunja jengo la tanesco ubungoNiseme kweli japo najua wazi nitashambuliwa. Namuunga mkono Mh. Rais na serikali yake kwa utendaji, hivyo basi, huwa napenda kujua kila siku anatoa maelekezo yepe ili kujua dira ya nchi. Hizi siku mbili sijamsikia atakuwa amerudi ofisini baada ziara ndefu, Bukoba, Uganda na hatimaye Ubungo? I real love my president, and the only daring president ever in Tanzania.
Ni kweli atakuwa anapitia kazi za ofisini ikiwemo mafaili.Kumbuka ana majukumu mengi
Siyo vizuri acha hizo...Kick zimekwisha Kumbuka aliaibika Uganda kwa kimombo kibovu sasa RAS SIMBA anampiga msasa
Panueni uwezo basiYupo anatafuta kiki ya kuja nayo maana zimeanza kuisha.....Usikute anamvizia LOWASA RAIS WA MIOYO YA WATZ
Avatar yako inanikumbusha Dr. Umetoa message kali sana kwa watanzania.Kumbuka ana majukumu mengi
Nchi ya matahira ya Chadema kila kitu pinga tu "Hapa Pinga Tuuuu!!!!Msikilize mwanaye Bashite. Eti kaleta meli ya Wachina watu wakatibiwe bure. Meli imekuja kwa ushirikiano na JW lakini kaifanya yake apate kiki.
Nchi ya matahira ya Chadema kila kitu pinga tu "Hapa Pinga Tuuuu!!!!
Sasa kma unajua yupo ofisini, mbona unatuuliza yupo wapi..??Ni kweli atakuwa anapitia kazi za ofisini ikiwemo mafaili.
Niseme kweli japo najua wazi nitashambuliwa. Namuunga mkono Mh. Rais na serikali yake kwa utendaji, hivyo basi, huwa napenda kujua kila siku anatoa maelekezo yepe ili kujua dira ya nchi. Hizi siku mbili sijamsikia atakuwa amerudi ofisini baada ziara ndefu, Bukoba, Uganda na hatimaye Ubungo? I real love my president, and the only daring president ever in Tanzania.
Nilikuwa namjibu aliyesema anakazi nyingi ndo nikawa nasema ni kweli...Sasa kma unajua yupo ofisini, mbona unatuuliza yupo wapi..??
Kweli mkuu
Jembe atakuwa yuko ofisi mwake anapiga kazi, anasoma mabuku na ripoti in detail, ratiba yake ya kuwa field ikifika utamuona tu, usihofu mkuu