Mh. Rais yuko wapi hizi siku mbili sijamsikia tangu nimsikie akiwa Ubungo pale

JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,577
1,041
Niseme kweli japo najua wazi nitashambuliwa. Namuunga mkono Mh. Rais na serikali yake kwa utendaji, hivyo basi, huwa napenda kujua kila siku anatoa maelekezo yepe ili kujua dira ya nchi. Hizi siku mbili sijamsikia atakuwa amerudi ofisini baada ziara ndefu, Bukoba, Uganda na hatimaye Ubungo? I real love my president, and the only daring president ever in Tanzania.
 
Itakuwa anatafuta mkandarasi wa kuvunja jengo la tanesco ubungo
 
Niseme kweli japo najua wazi nitashambuliwa. Namuunga mkono Mh. Rais na serikali yake kwa utendaji, hivyo basi, huwa napenda kujua kila siku anatoa maelekezo yepe ili kujua dira ya nchi. Hizi siku mbili sijamsikia atakuwa amerudi ofisini baada ziara ndefu, Bukoba, Uganda na hatimaye Ubungo? I real love my president, and the only daring president ever in Tanzania.

Jembe atakuwa yuko ofisi mwake anapiga kazi, anasoma mabuku na ripoti in detail, ratiba yake ya kuwa field ikifika utamuona tu, usihofu mkuu
 
Yuko location Mkuu na tayari Co actor wameshaanza jitokeza kupitia script.
 
Attachments

  • New-Doc-2017-11-19_15.jpg
    New-Doc-2017-11-19_15.jpg
    91.2 KB · Views: 29

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom