Hivi dharau ya muhongo ni ipi acheni husda bana kwanini watendaji hawapendwi na wafanyabiahara wa nchi hii? Mengi amefanya fuzo za kila aina dhidi ya muhongo kila siku anamsimanga kupitia vyombo vyake vya habari kisa tu kakataa kutoa kitaru kwa kumpendelea.Hakuna jambo linalokera kama kudharau watu unaowahudumia, kumbuka uko pale kwa sababu wao ndo wamependa uwahudumie sasa wewe uliona wapi mfanyakazi amdharau boss wake na aendelee kua kazini? Muhongo aende zake alafu watu wa Mara dharau inawaponza, jeuri nyingi wakati si lolote akina werema, maswi etc
bunge limeonyesha udhaifu mkubwa sana, kutumiwa na wenye pesa kama akina Mengi kuyanyanyasa majembe kama MUHONGOnimekubali
ombi lako.sitamuondoa
Mkuu hii ilikuwa ni vita kati wana wa Kanda ya ziwa na wale wa Kanda yaKaskazini na hakika kanda ya ziwa wameumizwa kwa sababu ya umaskini waoHivi dharau ya muhongo ni ipi acheni husda bana kwanini watendaji hawapendwi na wafanyabiahara wa nchi hii? Mengi amefanya fuzo za kila aina dhidi ya muhongo kila siku anamsimanga kupitia vyombo vyake vya habari kisa tu kakataa kutoa kitaru kwa kumpendelea.
Muhongo ameonewa BUNGENI, huku nje hatutakubali kamwe, hatutaki habari ya mgawo wa umeme ambao sasa ulikuwa historia
Mkuu thatha polepole ndiyo mwendo watanzania wameshaanza kuujua ukweli kwa sasa ukipita kwenye vijiwe vingi hata maofisini watu wanajua kuwa mengi anawaibia watanzani pia yeye daima hupenda kupendelewa na kupigiwa magoti kitu ambacho muhongo alikataa kukubali akasiamia maslahi ya watanzania siyo ya mtu mmoja.Mkuu hii ilikuwa ni vita kati wana wa Kanda ya ziwa na wale wa Kanda yaKaskazini na hakika kanda ya ziwa wameumizwa kwa sababu ya umaskini wao
Muhongo katengenezewa uongo mkuu na hakika Rais akidanganyika na maazimio yaliodhaminiwa na MENGI basi wizara ya nishati na madini itakuwa imewekwa mikononi mwa madalaliJitu ni liongo ,sijui mnalitaka la nini na kama ni Jk ndo anawatuma ili kesho aseme hajapata sababu ya kumwajibisha .tutaitisha bunge tupige kura ya kutokuwa na Iman nae.
Acha kujifanya tahira wewe umeme ukikatika wakati wa muhongo ni tatizo la kiufundi siyo mpango wa kupiga hela kama wakati wa zamani sheme muhongo utashinda jk hawezi kukubali ujinga wa aina hii.Kwahiyo Muhongo anatembea na TANESCO?
Hii katika katika ya umeme imetokea nayeye yupo vipi alishindwaje kuzuia??
Hizi akili zenu za kina Marian Kisangi ni shida Sana....
ZITTO ana uzoefu wa siku nyingi wa kutumiwa kuhujumu, safari hii MENGI amemnasa kilaini sana, ngoja tusubiri tuone kama Rais atamuondoa Muhongo kwa sababu ya upuuzi huuNimeandika mara nyingi humu ripoti ya CAG haina mahala imesema kuna wizi, hizo ni drama za Zitto na anajuwa kwanini amefanya hivyo, lakini nnauhakika dhamira itamuumiza.
Faiza naungana nawe ripoti ile haijasema hayo yaliyosemwa na kamati zitto walichofanya ni mpango mathubuti wa kumchafua muhongo na viongozi wengine ambao walikuwa wamewalenga lakini laana ya mungu itawashukia Rais siyo mtoto anaupeo wa mambo atachuja na kuona ukweli ndani yake hatimaye kusonga mbele na muhongo pamoja na wateule wake wengine.Nimeandika mara nyingi humu ripoti ya CAG haina mahala imesema kuna wizi, hizo ni drama za Zitto na anajuwa kwanini amefanya hivyo, lakini nnauhakika dhamira itamuumiza.
Acha kujifanya tahira wewe umeme ukikatika wakati wa muhongo ni tatizo la kiufundi siyo mpango wa kupiga hela kama wakati wa zamani sheme muhongo utashinda jk hawezi kukubali ujinga wa aina hii.
Huyu Dalali muajiri wewe ili akusaidie kunadi kitege uchumi chako cha nyuma...
Jambo jema la kushukuru ni kwamba kwasasa Rais atakuwa na ripoti ya CAG mezani kwake ataisoma na kubaini uongo huo wa zitto na timu yake lazima aibu iwarudie jk ni mwanasiasa mwenye akili nyingi sana ndiyo imani yangu inavyonituma siyo rahisi kumdanganya.ZITTO ana uzoefu wa siku nyingi wa kutumiwa kuhujumu, safari hii MENGI amemnasa kilaini sana, ngoja tusubiri tuone kama Rais atamuondoa Muhongo kwa sababu ya upuuzi huu
Mkuu Muhongo alikuwa tishio sana kwa hawa manyang'au wa Kichaga. Yamemtumia ZITTO kwa kumpamba kuwa yeye ni mtu muhimu sana akirudi UKAWAAcha kujifanya tahira wewe umeme ukikatika wakati wa muhongo ni tatizo la kiufundi siyo mpango wa kupiga hela kama wakati wa zamani sheme muhongo utashinda jk hawezi kukubali ujinga wa aina hii.