mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 916
Hivi dharau ya muhongo ni ipi acheni husda bana kwanini watendaji hawapendwi na wafanyabiahara wa nchi hii? Mengi amefanya fuzo za kila aina dhidi ya muhongo kila siku anamsimanga kupitia vyombo vyake vya habari kisa tu kakataa kutoa kitaru kwa kumpendelea.Hakuna jambo linalokera kama kudharau watu unaowahudumia, kumbuka uko pale kwa sababu wao ndo wamependa uwahudumie sasa wewe uliona wapi mfanyakazi amdharau boss wake na aendelee kua kazini? Muhongo aende zake alafu watu wa Mara dharau inawaponza, jeuri nyingi wakati si lolote akina werema, maswi etc