Mh. Rais tupunguzie PAYE

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
Nakusalimia kiongozi wangu mpendwa, ama baada ya salaaamu, pamoja na kukuombea dua kwa M/MUNGU akulinde usifikwe na mabaya,nakupongeza kwa kuturejeshea imani iliyokuwa imepotea kwa serikali yetu.

Tangu umeingia madarakani umekuwa mtu wa kusimamia ahadi zako,naomba kukumbusha hii ya kodi ya pato la mshahara (PAYE), najua hujasahau lakini nakuomba utuangalie maana mzigo wa kodi umetuelemea wafanyakazi.
 
nakusalimia kiongozi wangu mpendwa. ama baada ya salaaamu, pamoja na kukuombea dua kwa M/MUNGU akulinde usifikwe na mabaya,nakupongeza kwa kuturejeshea imaani iliyokuwa imepotea kwa serikali yetu. tangu umeingia madarakani umekuwa mtu wa kusimamia ahadi zako.naomba kukumbusha hii ya kodi ya pato la mshahara (PAYE) , najua hujasahau. lkn nakuomba utuangalie maana mzigo wa kodi umetuelemea wafanyakazi


Hilo nalo neno sina shamba sina genge kodi jwa mwaka nalipa zaidi ya milioni kumi si uuwaji huu
 
Nchi hii wafanyakazi ambao ndio wanyonge wanalipa kodi, wafanya biashara ambao ni matajiri hawalipi
 
Back
Top Bottom