Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,682
- 32,204
Kinachowatokea vijana wetu hususani wasanii waliothirika na utumiaji wa dawa za kulevya kinaumiza sana.
Tunaomba Mheshimiwa Raisi wetu tusaidie swala la madawa. Yamekuwa ni shida sasa.
Wasaanii wameharibika wote. Tukiwatumia hawa ni rahisi kutujulisha wanaoingiza na wanaowapa/wauzia.
Mungu awatie nguvu kwenye hii vita ya madawa.