Mh. Rais, madawa ya kulevya yanaua wasanii wetu. tuwatafute wahusika jamani!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Kinachowatokea vijana wetu hususani wasanii waliothirika na utumiaji wa dawa za kulevya kinaumiza sana.

Tunaomba Mheshimiwa Raisi wetu tusaidie swala la madawa. Yamekuwa ni shida sasa.

Wasaanii wameharibika wote. Tukiwatumia hawa ni rahisi kutujulisha wanaoingiza na wanaowapa/wauzia.

Mungu awatie nguvu kwenye hii vita ya madawa.

FB_IMG_1483696344892.jpg
 
Tumuazime Duterte kwa miezi sita tu...Unapewa muda wa kujisalimisha ukikataa unakuta shaba...

Hili ni suala la Economics mkuu. As long as kuna demand basi suppliers watakuwepo tu hata ufanyejeje. Ndo maana hakuna mahali walikofanikiwa kuyatokomeza kabisa. Hata Uarabuni ambako sheria ni kali ajabu na serikali ipo kila mahali madawa haya yapo. Wazazi huko majumbani mna jukumu la kuwaelimisha wanenu kuhusu tatizo hili.
 
Inaonesha watumiaji (mateja) wanawafahamu vizuri tu suppliers wadogo na wakubwa. Nilicheki mjadala wa jana ITV malumbano ya hoja, shida ni vyombo vya usalama na serikali inapewa majina na hawa users lakini haitoi mrejesho au hatuoni hatua zikichukuliwa, shida au kikwazo ni nini?
 
usiombe jirani yako awe msambaza unga, ukimsemea kwa vyombo vya ........ utahama mtaa kwa usalama wako
 
Kinachowatokea vijana wetu hususani wasanii waliothirika na utumiaji wa dawa za kulevya kinaumiza sana.

Tunaomba Mheshimiwa Raisi wetu tusaidie swala la madawa. Yamekuwa ni shida sasa.

Wasaanii wameharibika wote. Tukiwatumia hawa ni rahisi kutujulisha wanaoingiza na wanaowapa/wauzia.

Mungu awatie nguvu kwenye hii vita ya madawa.

View attachment 455028
Jibu atakalokupa hutakula mwez mzima... atakwambia kwan yeye ndo kawaambia walee.. waache kula wauzaji watakosa soko. mwisho wa kunukuu..
 
Kinachowatokea vijana wetu hususani wasanii waliothirika na utumiaji wa dawa za kulevya kinaumiza sana.

Tunaomba Mheshimiwa Raisi wetu tusaidie swala la madawa. Yamekuwa ni shida sasa.

Wasaanii wameharibika wote. Tukiwatumia hawa ni rahisi kutujulisha wanaoingiza na wanaowapa/wauzia.

Mungu awatie nguvu kwenye hii vita ya madawa.

View attachment 455028
P naomba nikuulize kaswali kadogo na kamsingi na secondari toooka uzaliwe ulikuwa ukisoma na kushuhudia kwenye vyombo vya habari serikali ikiteketeza bangi, sijui bunduki lakini niambie nilini na wapi uliwahi soma au kushuhudia madawa ya kulevya yakiteketezwa? Nimejiwazia kwa sauti
 
Hivi ni wasanii tu na mastaa waBongo wanaoathirika na madawa ya kulevya!?
 
Yani we unaona wasanii tu,ndugu zako wasio na wakuwatibia nani awaongelee?

Ila utakuwa mcheza shoo flani ya kigodoro skulaumu.
 
I guess we can do without wasanii! Ila sema ni wanadamu/watoto wetu wasiendekeze madawa. Tuwasaidie
 
mateja mitaan wapo na tunawajua kwann tusiwakamate hao na wao wawataje wanaowauzia? mfano hapa mtaani kwetu ubungo kibo mateja wanatuambia kabisa anayewauzia ni baba abed ghorofan kumekucha huyu baba akamatwe tu
 
Ukichunguza vizuri wasanii hao hao ndio wanatumiwa na wauza unga kubeba hayo madawa. Baadae waathirika wanakuja kuwa ni wao wenyewe. Ref:Demu WA Jux aliyekamatwa na unga huko Macau au Hongkong. Jux sasa yuko na Vanessa mdee ambaye na yeye Vanessa nasikia kaanza kutumia.Ukiunganisha dots utaona Jux anahusika kiaina na wabeba madawa pia na wabwia unga!
 
P naomba nikuulize kaswali kadogo na kamsingi na secondari toooka uzaliwe ulikuwa ukisoma na kushuhudia kwenye vyombo vya habari serikali ikiteketeza bangi, sijui bunduki lakini niambie nilini na wapi uliwahi soma au kushuhudia madawa ya kulevya yakiteketezwa? Nimejiwazia kwa sauti
Usifikeeehukooo moyoo sukumaaaa damuuu menginee waachie wenyewe uwii
 
Back
Top Bottom