Mh Rais JK, DPP huyu hakufai

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,260
Mh. Rais kwanza nikupongeze kwa kufanya mabadiliko ya mwanasheria mkuu wa serikali, lakini pia naona imefika kipindi tunahitaji DPP mpya ambaye ataweza kufanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za nchi tofauti na huyu aliyepo ambaye ameshindwa kabisa kufanya kazi yake.
 
Wewe ni mbaya zaidi ya DPP kwa kutoa tuhuma nzito dhidi ya Presidential appointee bila kutoa maelezo yoyote ya tuhuma! Ukipelekea JK maelezo haya bila shaka atayatupa kwenye dust bin!
 
Kweli mzee, mwenzetu huyu hajatoa support ya conclusion yake...
Tuambie bana...shida yake nini zaidi...anahongwa na akina JITU TAPELI?
 
Wewe ni mbaya zaidi ya DPP kwa kutoa tuhuma nzito dhidi ya Presidential appointee bila kutoa maelezo yoyote ya tuhuma! Ukipelekea JK maelezo haya bila shaka atayatupa kwenye dust bin!
kwa kiasi kikubwa anachangia kushindwa kuwapeleka mahakamani watuhumiwa sugu kama wa Kagoda, Meremeta na wengine wengi
 
Hizo wenyewe si wanajulikana nani wa kumfunga paka kengele hebu leta tuhuma zingine dhidi yake ambazo zina uzito achana na zilipendwa na ambazo wenyewe wanajulikana tupe data mzee
 
kwa kiasi kikubwa anachangia kushindwa kuwapeleka mahakamani watuhumiwa sugu kama wa Kagoda, Meremeta na wengine wengi

Una uhakika majalada ya Meremeta, Kagoda na wengine yamefika kwa DPP na yeye (DPP) kayakwamisha na kama kayakwamisha ni kwa sababu ya yeye kushindwa kazi? Wewe kama ni msomi usipende kuokoteza story za vijiweni zisizo na ushahidi au uzito wowote na kuzileta hapa! Au ulikuwa unatest zari uone kama kuna watu wana taarifa zaidi za mapungufu ya DPP ambazo wewe huna? Kaazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom