Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

Hebu lipeni mikopo wengine wakopeshwe. Mlikopa rudiaheni. Kusubiri 2020 ni sawa na fisi kusubiri mkono wa binadamu ukatike. Mmepata shahada. Zitumieni ipasavyo kufanya kazi kwa bidii ili kulipa mikopo yenu.
Na wateule wa Raisi NAO WALIPE Mikopo ya HELSB.Nimesha thibitisha kuwa mdaiwa namba 5604 kwenye orodha ilotolewa miezi michache ilo pita, MAKORI KISARE ndiye Mkuu wa Wilaya ya Ubungo. Na Mke wake Nancy Hizza anadaiwa pia. Huyu yuko namba 5526 kwenye orodha hiyo. Wote 2 walimaliza mwaka 1998. Miaka 19 HAWAJALIPA DENI la serikali!
 
Serikali haina kiwanda cha pesa!

Mwaaafwaaaa!
 
Tatizo ni Mazoea aliyowazoesha Mzee Bure mnakopa mkishapata videgree vyenu vya Mkopo hamlipi
 
Story tu nyie walimu ndo mnatumika sana , na bado.
 
Huyu bwana maombi yamefeli labda tumtafutie mganga tu wa kienyeji
Mganga ndo atafanya nini Mkuu?, huko kwa waganga ndo kuliko makazi yake, alafu wa-tz wanabaki kudanganywa kuomba wapi na wapi nyumba nyeupe ikawa na Mungu, vilio vya wenye haki vimekuwa vingi, ila kosa lenu ndugu zangu mnamlilia mtu badala ya Mungu au miungu kila mtu kwa imani yake.
 
Kwa afrika hii, katba bora haitatokea, labda kije kizazi cha sayari ya mars na jupita

Mbona Ghana, Nigeria,South Africa na sehemu nyingine kibao tu ndani ya Afrika wameweza mkuu? Itategemea na u-serious wa watanzania katika kudai katiba mpya
 
Yaani hapa ofisini kila mmoja anasubiri 2020. In kama msiba. Hakuna anayewaza lini atamaliza makato ya mkopo, wote wanawaza October 2020

Mkuu kwa tume hii!! Nakuhakikishia lazima tutapigwa tena. Wapinzani kila siku wanaangaika kupata wapiga kura bila kujua kuwa wananchi washaamua kuwapa hizo kura, lakini je zitalindwa?
Tume ni ya ccm hapo unadhani mnaweza kuwatoa kirahisi hivyo?
Huu ni mda wa kupigia kelele katiba na tume huru ila si mda wa kuongeza kura.
Kwa maoni yangu upinzani wapiganie kwanza wabunge ili waweze kuisimamia serikali na kuiwajibisha kwa maslai ya uma. Ila kwa sasa wingi wa wabunge wa ccm ni tatizo kubwa sana bungeni
 
Mkubali tuu kuwa mliingia choo cha kike na 2020 OUT basi. Nadhani hata hao washabiki wa ccm nao wameona kuwa kumpa kura mtu kwa ushabiki wa kisiasa kisha mateso na familia yako miaka 5 ni zaidi ya ujuha!
Akiwa madarakani mtu anaye vaa kijani kama wewe lakini hana mbinu za kukukwamua zaidi ya kukukamua inakusaidia nini kama sio yeye huyo huyo kukuona fala!
Kwa hili hata mi magu kaniudhi sana
 
Mkubali tuu kuwa mliingia choo cha kike na 2020 OUT basi. Nadhani hata hao washabiki wa ccm nao wameona kuwa kumpa kura mtu kwa ushabiki wa kisiasa kisha mateso na familia yako miaka 5 ni zaidi ya ujuha!
Akiwa madarakani mtu anaye vaa kijani kama wewe lakini hana mbinu za kukukwamua zaidi ya kukukamua inakusaidia nini kama sio yeye huyo huyo kukuona fala!
Kwa hili hata mi magu kaniudhi sana
 
2015 kwenye uchaguzi tuliwaelekeza hili swala mkatuona wajinga,
haya sasa vilio na kusaga meno kila kona.
 
Back
Top Bottom