Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

na baado mtanyooka tu, ndio mtajua ccm ni ile ile
 
Hebu lipeni mikopo wengine wakopeshwe. Mlikopa rudiaheni. Kusubiri 2020 ni sawa na fisi kusubiri mkono wa binadamu ukatike. Mmepata shahada. Zitumieni ipasavyo kufanya kazi kwa bidii ili kulipa mikopo yenu.
Uko sawa kabisa ndugu Congo, dawa ya deni ni kulipa na kama mtu halipi binafsi simkubalii kabisa.
Swali linaloniijia kichwani mwangu ni moja. Hivi huu si ni mkopo? Mkopo si huwa una masharti wakati unauchukua?
Sasa swali: Kama wanufaika walisaini kulipa 8% ya mshahara,kwa nini sasa waambiwe 15% ya mshahara?
Kisheria hapa imekaaje? Mimi si mwana sheria lakini nafikiria tu kichunga ng'ombe kuwa, hiyo 15% ilipashwa kulipwa na wanufaika watakaosaini hayo masharti.....au huko HESLB hakuna Vigezo na masharti kuzingatiwa?
 
Wewe tumia akili. Hakuna aliyekataa kulipa, issue ni hiyo 15% badala ya 8% inayosomeka ktk mkataba. Hebu sometimes jaribu kutumia akili badala ya kuleta ushabiki wa kiasiasa ktk mambo yanayoathiri walio wengi.
 
Mimi sikuwahi kuchukua mkopo kabisa lkn jina langu eti nadaiwa, nasubiri tupelekane mahakamani ili nikadai fidia ya kudhalilishwa.1994 mikopo wapi na wapi?
 
Hivi kwenye huo mkataba kuna kipengere kua mtu akishindwa kulipa kwa wakati anapata hasara au adhabu gani
 
Utakuwa na ka certificate au ni form four failure.Sisi tulisainishana mkataba wa kulipa 8% Ghafla HESLB wamepaisha hadi 15% bila kutushirikisha halafu unataka tunyamaze tu kama wajinga.Kuwa uyaone dogo
Haya bro, Lkn hakuna namna hapo mnafanyaje sasa, vyama vyenu vya wafanyakazi havina SAUTI yoyote ni kama vivuli tu. Naukumbuka ule msemo wa Mtaishi kama Mashetani.
 
Uko sawa kabisa ndugu Congo, dawa ya deni ni kulipa na kama mtu halipi binafsi simkubalii kabisa.
Swali linaloniijia kichwani mwangu ni moja. Hivi huu si ni mkopo? Mkopo si huwa una masharti wakati unauchukua?
Sasa swali: Kama wanufaika walisaini kulipa 8% ya mshahara,kwa nini sasa waambiwe 15% ya mshahara?
Kisheria hapa imekaaje? Mimi si mwana sheria lakini nafikiria tu kichunga ng'ombe kuwa, hiyo 15% ilipashwa kulipwa na wanufaika watakaosaini hayo masharti.....au huko HESLB hakuna Vigezo na masharti kuzingatiwa?
Masharti ya mkopo yako kwenye sheria. Wanaweza kuwa walisaini kwa 8% lakini sheria ikageuzwa kuwa kuanzia sasa ni 15%. Lazima uende kwenye 15% kwa mkopo uliobaki.
Kitu kingine dawa ya wanaodaiwa na HESLB ni kukopa kwa kutumia TIN. Kuwe na TIN ya mkopo kama ilivyo TIN ya udereva. Mishahara itumie TIN. Kwa kuwa TIN haikatwi mara 2 ina maana ukikopa mkopo unaingia kwenye TIN. Ukiajiriwa unakutana na tin, ukianzisha biashara unakutana na tin, ukitafuta pp unakutana na tin. Unaanza kukatwa mkopo hukohuko na TRA.
 
Nakubariana na wewe kwenye TIN au any means of debit collection. Matatizo yangu bado yako kutoka 8% kwenda 15%. Kama ni iko kisheria na kwamba inapobadirika na deni linalokuwa limebaki linakuwa ndani ya 15%, hivi sheria huwa ikoje, inapotungwa inaaffect hata makubariano ya awali?
Kwa mfano mimi dereva nikagonga mtu leo,kesi ikapelekwa mahakamani ikaanza kusomwa labda ichukue mwaka mmoja kusikilizwa, ikiwa inaendelea kusikilizwa ikatungwa sheria kwamba mtu akigonga hukumu yake ni kifo. Hiyo sheria itanikumba au itawahusu watakao gonga baada ya hiyo sheria kutungwa?
Usinichoke mie sijasoma sheria nisaidie tu hapo.
 
Kinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?

Mbona uliposikia la TANESCO uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana. Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makusanyo hayatoshi huko bodi?

Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa. Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.
Nashindwa kuelewa makubaliano yalisemaje? wakati unakopa kwenye form yako ya mkopo uliahidi kurejesha kwa asilimia ngapi?

Kama ulikubali kwa 10% hiyo 15% umeitwa na kukubaliana tena? HII SOW NAONA KAMA YA KIBABE VILE? NENDA MAHAKAMANI KADAI HAKI YAKO MKUU.

Pole sana, naona uncle zangu wanavyokutolea macho kila siku wanataka chai na mkate wa siagi, naona kale kagari ulichukua kwa mkopo kanavyodai road licence na insurance, huku natazama tairi zimeshakua kipara zianahitaji mabadiliko hata kama wewe hutaki mabadiliko....

Pole sana mzalendo mwenzangu, pole sana mtanzania mwenzangu. Pole sana mwalimu.
 
Watu husahau walikotoka.

Kinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?

Mbona uliposikia la TANESCO uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana. Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makusanyo hayatoshi huko bodi?

Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa. Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.
 
Sifa ya mtu mwenye mafanikio ni kuona na wengine wakifanikiwa...

Sifa ya mtu masikini ni kuona tajiri akifirisika ilikuiridhisha nafsi yake...

John Joseph Pombe magufuli-phd holder!
 
Back
Top Bottom