Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Kinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?
Mbona uliposikia la TANESCO uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana. Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makusanyo hayatoshi huko bodi?
Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa. Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.