Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

Hebu lipeni mikopo wengine wakopeshwe. Mlikopa rudiaheni. Kusubiri 2020 ni sawa na fisi kusubiri mkono wa binadamu ukatike. Mmepata shahada. Zitumieni ipasavyo kufanya kazi kwa bidii ili kulipa mikopo yenu.
Hakuna anae kataaa kulipa deni, tunacho lalamikia ni utaratibu wa ulipaji mkuu!!
Kwahiyo mnawapa kipaombele wakopaji wengine wakati sisi tunateseka? Hata hao wanao kopeshwa saizi baadae watakuja kukatwa kwa utaratibu huu na watapata shida!!!
Lengo la mkopo haikuwa kuja kututesa hivi
 
Kamanda, umesahau kama makamanda wenzetu kwenye uchaguzi mkuu 2015 walisema tusipoitoa CCM madarakani tusubili tena hadi baada ya miaka 50? Sasa wewe CCM out 2020 umeipata wapi?
Kila usikiacho kwenye kampeni sio kukiweka kwenye kumbukumbu yako utapoteza fahamu bure!
Ndio maana Rais wetu alisema kule Tabora kuwa akiingia watoto wote wa vyuo vya juu watapatiwa mikopo na wasipopata watumishi wa Bodi wakatafute kazi kwingine, leo hali ikoje?
Ile kauli ya makamanda ilikuwa hamasa ya vitani. Hata hivyo sii uajua Lubuva alifanyaje?
 
Hebu lipeni mikopo wengine wakopeshwe. Mlikopa rudiaheni. Kusubiri 2020 ni sawa na fisi kusubiri mkono wa binadamu ukatike. Mmepata shahada. Zitumieni ipasavyo kufanya kazi kwa bidii ili kulipa mikopo yenu.
Ni kweli mlikula na kutumia pesa ya serikali lipeni hakuna namna hapo, wewe utafurahi ndugu zako, wadogo zako na watoto wa masikini kushindwa kufikia hapo ulipo wewe kwa sababu ya kukosa Mkopo. Dawa ya Deni ni Kulipa si vinginevyo. Lawama hazisaidii chochote mwacheni Rahisi afanye yake..Namba tunaisoma wote ila lawama hazisaidi chochote, hata hiyo 2020 mathalani Sizonje hajapita una uthibitisho gani huyo atakayekuja atayafuta madeni yako ya bodi hapana. Future of full of uncertainity cha msingi kukaza sasa kujaribu kutafuta kwa hali na mali hali ishakua mbaya na hakuna namna. Nawasilisha. Shikamoo Sizonjee[emoji13] [emoji13]
 
Unaishi uarabuni au marekani?
 
Huyu bwana maombi yamefeli labda tumtafutie mganga tu wa kienyeji
Yaani unatamani ukamtengeneze MKEMIA kwa FUNDI....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari sana hii......[emoji12] [emoji12]
 
Kinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?

Mbona uliposikia la TANESCO uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana. Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makusanyo hayatoshi huko bodi?

Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa. Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.

Aliyeshiba hamjui mwenye njaa......pole sana ndugu yangu
 
Nadhani hata hao washabiki wa ccm nao wameona kuwa kumpa kura mtu kwa ushabiki wa kisiasa kisha mateso na familia yako miaka 5 ni zaidi ya ujuha!
Wachache wanaolijua hili, wengi wanajiendeaendea tu kama bendera.
 
Ni kweli mlikula na kutumia pesa ya serikali lipeni hakuna namna hapo, wewe utafurahi ndugu zako, wadogo zako na watoto wa masikini kushindwa kufikia hapo ulipo wewe kwa sababu ya kukosa Mkopo. Dawa ya Deni ni Kulipa si vinginevyo. Lawama hazisaidii chochote mwacheni Rahisi afanye yake..Namba tunaisoma wote ila lawama hazisaidi chochote, hata hiyo 2020 mathalani Sizonje hajapita una uthibitisho gani huyo atakayekuja atayafuta madeni yako ya bodi hapana. Future of full of uncertainity cha msingi kukaza sasa kujaribu kutafuta kwa hali na mali hali ishakua mbaya na hakuna namna. Nawasilisha. Shikamoo Sizonjee[emoji13] [emoji13]
Utakuwa na ka certificate au ni form four failure.Sisi tulisainishana mkataba wa kulipa 8% Ghafla HESLB wamepaisha hadi 15% bila kutushirikisha halafu unataka tunyamaze tu kama wajinga.Kuwa uyaone dogo
 
Kinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?

Mbona uliposikia la TANESCO uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana. Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makusanyo hayatoshi huko bodi?

Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa. Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.
umenena, rais hana "time" na maslahi ya watumishi zaidi ya kudai wachape kazi. Hapa si kazi tu, bali "punda afe mzigo ufike". Uzuri hatagombea tena.
 
Back
Top Bottom