Tetesi: Mh Polepole kuna 100% aweza kamata jiji....


T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,215
Likes
2,156
Points
280
T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,215 2,156 280
Upo uwezekano Amiri jeshi mkuu akafanya mabadiliko ktk mkoa fulani mkubwa na ili kufanya maisha yasiwe mabaya kwakusema vijana wameshindwa a genius men Polepole aweza chukua mkoa hii yaweza kuwa siri kubwa ila alama zinaonyesha machinjio yamesha andaliwa yanasubiri mambo fulani yapite then kazi imalizike.
Hapa kazi Tu....
 
josegorofani

josegorofani

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Messages
200
Likes
68
Points
45
josegorofani

josegorofani

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2015
200 68 45
Endelea kujidanganya ili dhamira yako hitimie(kindotondoto)
 
mwisho2016

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Messages
351
Likes
269
Points
80
mwisho2016

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2016
351 269 80
mkoa maarufu jijini ni mfupa uliowashinda wengi. wapo magius waliopitia mji huo, hata siku moja, Huwezi kuchezea roho yako kufanya majaribio. Lazima steling afe movie iishe
 
Inferiority Complex

Inferiority Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
2,706
Likes
1,144
Points
280
Inferiority Complex

Inferiority Complex

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
2,706 1,144 280
Makonda bado halitambui hili
 
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
8,432
Likes
5,371
Points
280
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
8,432 5,371 280
Upo uwezekano Amiri jeshi mkuu akafanya mabadiliko ktk mkoa fulani mkubwa na ili kufanya maisha yasiwe mabaya kwakusema vijana wameshindwa a genius men Polepole aweza chukua mkoa hii yaweza kuwa siri kubwa ila alama zinaonyesha machinjio yamesha andaliwa yanasubiri mambo fulani yapite then kazi imalizike.
Hapa kazi Tu....
......genius MEN Polepole.... mi mgeni hapa
 
T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,215
Likes
2,156
Points
280
T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,215 2,156 280
Jamaa anamvuto wa kisiasa hanapapara upinzani upo tayari kupiga mzigo nae sasa Rais hawezi vumilia taharuki wanazo fanyiwa wana nchi kwa kubeba mtu.....
 
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
8,432
Likes
5,371
Points
280
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
8,432 5,371 280
Jamaa anamvuto wa kisiasa hanapapara upinzani upo tayari kupiga mzigo nae sasa Rais hawezi vumilia taharuki wanazo fanyiwa wana nchi kwa kubeba mtu.....
Mmeanza kugundua kuna mtu anazusha taharuki kila siku, matamko utadhani rappa

Sijawahi muona wala msikia jamaa akiongea kwa uso wa bashasha siku zote uso mkavu
 
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
3,122
Likes
1,853
Points
280
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
3,122 1,853 280
Tor za wiki end..
 
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
9,626
Likes
3,524
Points
280
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
9,626 3,524 280
---AS DAR ES SALAAM NEEDS SPECIFIC STRATEGIC LEADERSHIP,MKOA HAUTAKI PAPASA PAPASA /
STILL HATA POLEPOLE BADO HATAFAA..
 
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2008
Messages
6,530
Likes
4,750
Points
280
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2008
6,530 4,750 280
JPJM bado hatabiriki kwa sasa. Akifanya mabadiliko kama hayo atafanya jiji kuongozwa kwa ustaarabu na hekima zaidi; lakini hata asipofanya mabadiliko hayo Makonda atawekewa gavana na halmashauri ya jiji.
 
Askari Muoga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
6,136
Likes
4,529
Points
280
Askari Muoga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
6,136 4,529 280
Pole pole bado bana jiji la kandaro hili
 
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
7,206
Likes
5,342
Points
280
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
7,206 5,342 280
Ishara za nyakati zinaonyesha Mzee Polepole kupewa jiji.Makonda out.
 
Mpunilevel

Mpunilevel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
3,150
Likes
1,830
Points
280
Mpunilevel

Mpunilevel

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
3,150 1,830 280
Hivi muanzisha thread, unahisi MAGUFULI atafanyia kazi jungu lako dhidi ya RC MAKONDA?
Mission anayofanya makonda ni maalum kuliweka jiji katika hali ya usmart.
Jiji kwa miaka mingi limekua la mpangilio wa hovyo, omba omba wenye uwezo wa kufanya kazi, biashara holela kwenye mabarabara kiasi hata kuleta kero kwa watumiaji wa barabara, vibaka mwanzo mwisho.
Sasa ni Muda wa jiji kupangika kistarabu.
Siasa uchwra na majungu hayana nafasi tena kwa MAGUFULI ni PERFORMANCE tu.
Pia kumsakama makonda ni kumpandisha rank, kwani mkulu yupo ana watch jinsi dose inavyowaingia
 
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,712
Likes
1,144
Points
280
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,712 1,144 280
NAONA SIKU HIZI WAKUU WA WILAYA ZA DAR WANAJIANZISHIA NYUZI WENYEWE HAJAHAHA KULE HAPI KAANZISHA ZAKE NA WEWE POLEPOLE UNA ZAKO HUKU
Unamwonea polepole
 

Forum statistics

Threads 1,235,536
Members 474,641
Posts 29,225,958