huyo ndio maana akaitwa "mizengwe iliyo-pinda"mizengo hata si muelewi anchokijibu hoja za wabunge... Kweli amejichokea!!!
huyo ndio maana akaitwa "mizengwe iliyo-pinda"mizengo hata si muelewi anchokijibu hoja za wabunge... Kweli amejichokea!!!
Wamuombe radhi kwanza Mzee wetu jaji Warioba kwa matusi waliomwagia
Sio rahisi CCM tunayoijua sisi ikae meza moja na ukawa,kama tayari wana 2/3 ya wajumbe wa kuweza kuendelea na kutunga katiba wy should they give a dam???haujamuelewa PINDA wewe
@Nape nnauye huwakejeli UKAWA na kusema hawako tayari kukaa meza moja na UKAWA.
kunani ccm tena??
Samahanini ukawa naomba tushikamane ili tupate katiba yenye kiwango cha juu.
Sio rahisi CCM tunayoijua sisi ikae meza moja na ukawa,kama tayari wana 2/3 ya wajumbe wa kuweza kuendelea na kutunga katiba wy should they give a dam???haujamuelewa PINDA wewe
Mizengo hata si muelewi anchokijibu hoja za wabunge... kweli amejichokea!!!
Wamuombe radhi kwanza Mzee wetu jaji Warioba kwa matusi waliomwagia
awasihi kukaa meza moja kuangalia ni namna gani watasuluhishana na kuondoa tofauti zao!!
Naamini sasa serikali ya ccm imeona umuhimu wa ukawa bungeni,.
endelea kujidanganya think beyond the limit hata kadi ya kupiga kura sijui kama unayo kijanaMaona Waziri Pinda anapingana na boss wake wa chama bwana Nape aliyesema UKAWA wasirudi bungeni tena, kwani tangu waondoke mitusi, makelele vimepungua na Bunge linaendeshwa kwa ustaarabu mkubwa.
Kwa msingi huu wengi tunaona waendelee wenyewe kwa wenyewe, sisi tutawasubiri huku mitaani wakati wa kura za kuipitisha - hapo ndiyo mzizi wa fitna utakapokatwa rasmi.
Tunatoa sharti la wao kumuomba radhi mwananchi,ukawa na warioba