Ww muongo PINDA hajaongea hayo na haitotokea hata siku moja
Uwe unaangalia angalau taarifa ya habari ITV Mkuu
Ww muongo PINDA hajaongea hayo na haitotokea hata siku moja
Maneno ya Viongozi wetu yana utata kibao. Mkuu wa nchi alisema muda wa kwenda kwa Wananchi haujafika mpaka wakati wa kura ya maoni. Wengine wanasema Ukawa wanakopita hata sisi tutakwenda ili kupangua hayo waliyosema kwa wananchi. Kama Ukawa wanakwenda kuwalaghai wananchi, na wao wanafuata nini ikiwa wakati wa kwenda kwao haujafika. Waziri Mkuu anawasihi Ukawa wakae meza moja waondoe tofauti zao ili warejee Bungeni, waziri mwingine alisema Ukawa waliondoka Bungeni pasipo sababu na wakipenda warudi bila sababu. Hizi kauli zinatolewa na viongozi walioko kwenye chama kimoja cha siasa. WHO IS WHO AND WHICH IS WHICH?
Ni miaka mingi, na ameweza kumudu dhoruba za zahama hii.
Awasihi kukaa meza moja kuangalia ni namna gani watasuluhishana na kuondoa tofauti zao!!
Naamini sasa Serikali ya CCM imeona umuhimu wa UKAWA bungeni,.
wewe ndiyo hukumuelewa mkuu, ccm wanaanza kuhaha,.
Wewe ndo hujaelewa ila sisi wenye chama chetu mbona tunaelewana tu
kadi ninayo nyie andaeni hela za kuja kutupatia kama kawaida yenu.endelea kujidanganya think beyond the limit hata kadi ya kupiga kura sijui kama unayo kijana