Dazzle
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 214
- 56
Kinachonisangaza ni kauli za viongozi wa ccm. Wakiwa Zanzibar walisema NAPE alisema UKAWA wasirudi maana ndio wanachafua bunge. Juzi wanasema Kamati kuu imesema haitawomba UKAWA kurudi wala kukaa meza moja,leo mzee wangu "chonde chonde" anawataka wakakae meza moja wazungumze. Hizi kauli zenye utata toka kwa viongozi wa chama kimoja,Serikali moja lkn kauli tofauti tuwaeleweje?