Mh.Pinda abaki mpweke !

Mh.Pinda abaki mpweke !

Pole. Tulia dawa iingie vzr. Hapa sio udini ila ni Fact tu.
Mf Chuo chochote ulichosoma kuna Ma Prof. wangapi wa Kiislam? pia mf mzr ni Bunge kuna Ma Prof. na Ma Dr. wangapi wa Kiislam?
Mimi sijafanya research,nimekuuliza tu,halafu kwa mtu ambaye ni civilized hawez kuibua ubish wa kitoto kama huu.
Kuwa na idadi kubwa ya maprofesa au Madokta hakumuongezei Muislam wala mkristo.
Mimi kwa elimu yangu nawahudumia watu wote bila kujali dini zao,rangi zao wala kabila zao.Nawachukulia wote ni watanzania. Haya let say maprofesa au ma-Drs wa kikristo wapo wengi huko vyuoni,na mabungeni na kwingineko,so what are u benefit from them?kuibiwa?.
Maelezo yako yananithibitishia wewe ni adolescent.Endelea na takwimu za idadi ya maprofesa wakristo kuwa wengi wakat wenzio wanapata vipato vyao na havikunufaishi chochote.Hatuna haja ya kuwa na idadi kubwa ya wasomi ambao hawawezi ku-deliver, tunataka wasomi wanaoweza ku-deliver. Sasa utajisifia mkristo mwenzio ni profesa while anakua dalali wa watu kuchota pesa.
 
Kama sio tija kwako, umekuja kwenye comment yangu kutafta nn? Au unadhan ww ndio wa kwanza kuiona? Ilikuwepo toka jana, kaa kushoto mkuu.
 
Unamiliki comment wewe?umekosa hoja sasa unahorojoka tu,:lol:

Off course, ilikuwa yangu. I can do anything on it.

Wee kahamasishe watu kusoma sio kufungia watoto (147, Kilimanjaro) miskitini! Na kuwanyima fursa ya kupata Elimu!!
 
Hoja ya mahakama ya kadhi tumeiona jinsi ilivyoibua hisia kali na hali ya sintofahamu ktk jamii.Ilipelekea Mh.Mtikila kuwahi mahakamani kuipinga isizungumzwe bungeni.

Maaskofu na watu wasio na maslahi na mahakama ya kadhi,waliipinga kwa hoja na hata kuionya serikali isithubutu kuinzisha mahakama hiyo.

Waziri mkuu na mwanasheria mkuu waliikomalia na kushawishi sana kuwa haina madhara endapo ikijadiliwa na hata kupelekea kuanzishwa kwa mahakama hiyo ya kadhi.Huenda ilikua janja ya nyani kula indi bichi ili kushawishi kundi linalodai mahakama hiyo na kupata kuungwa mkono kwa mambo fulani yanayotakwa na wapenda madaraka.

Sasa ni wazi kuwa mswada wa mahakama ya kadhi umetoswa baada ya kuona jinsi hali ya hewa ilivotaka kuchafuka huko bungeni na baadaye ingekua huku uswazi(MUNGU aepushie mbali)

Hivyo,endapo Mh.Pinda alitaka kuwafurahisha waislamu,sijui sasa atawaambia nini? Na huko kwa wakristo nako sijui atawaeleza nini? Atagombea urais kweli,au amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe?

Wanasiasa huwa hawana aibu,ngoja tumsubiri !
Mimi ni mwana CCM, na nasema walaaniwe wslioingiza dini kama issue ya kisiasa.
Hicho sicho kinachonieweka ndani ya chama.
 
hoja ya mahakama ya kadhi tumeiona jinsi ilivyoibua hisia kali na hali ya sintofahamu ktk jamii.ilipelekea mh.mtikila kuwahi mahakamani kuipinga isizungumzwe bungeni.

Maaskofu na watu wasio na maslahi na mahakama ya kadhi,waliipinga kwa hoja na hata kuionya serikali isithubutu kuinzisha mahakama hiyo.

Waziri mkuu na mwanasheria mkuu waliikomalia na kushawishi sana kuwa haina madhara endapo ikijadiliwa na hata kupelekea kuanzishwa kwa mahakama hiyo ya kadhi.huenda ilikua janja ya nyani kula indi bichi ili kushawishi kundi linalodai mahakama hiyo na kupata kuungwa mkono kwa mambo fulani yanayotakwa na wapenda madaraka.

Sasa ni wazi kuwa mswada wa mahakama ya kadhi umetoswa baada ya kuona jinsi hali ya hewa ilivotaka kuchafuka huko bungeni na baadaye ingekua huku uswazi(mungu aepushie mbali)

hivyo,endapo mh.pinda alitaka kuwafurahisha waislamu,sijui sasa atawaambia nini? Na huko kwa wakristo nako sijui atawaeleza nini? Atagombea urais kweli,au amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe?

Wanasiasa huwa hawana aibu,ngoja tumsubiri !

hajui kuchanga karata za kuelekea magigoni,ni aibu yake pinda,anatia huruma.
Ila ngoja ajifunze japo hana chake tena.
 
Suala kuu ni kwamba je Pinda awachwa mkiwa kwa kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe? Ninachoweza kusema ni kuwa haya mambo ya dini ni magumu. Yanahitaji uvumilivu sana. Bahati mbaya sana tunayaona kwenye maeneo ya kazi nisawa na ukabila ambao umeshamiri sana. Haya yote tunayalea na kunyamazia.

Hili naiomba serikali wakitahidi sana kuliangalia kwa undani sana. Udini na ukabila unaotaka kulinyemelea nchi ni zaidi ya kansa. Vikienea haya yataturudisha nyuma sana.

Pinda kama kiongozi lazima abaki kwenye njia Panda ili asiwakwaze watu wa dini zote. Yeye ni kiongozi na lazima lawama hizi azibebe. Na hizi lawama zimemfanya awe "unpopular" kama tafiti mbalimbali zinavyoonesha kuwa hakubaliki. Mazungumzo ya watu sehemu mbalimbali nchini yanaonesha hivyo.

Ushauri ni kwamba tunadanganyana na hatuambiani ukweli kwenye hizi mbio za urais aachane nazo kwa sababu hatafika mbali. Huu ndiyo ukweli niunao mimi.

Pia kutokana na mtizamo wangu huu dhidi ya hoja iliyoletwa hapa ili kujiridhisha unaweza kupitapita kwa wananchi kimya kimya kuubaini ukweli huu.
 
Masikini Pinda! Hapo bado dua na albadiri za waislamu zinamfuata nyuma na kuna maombi ya wakristo wakimlilia Mungu ashughulike na wanaochezea amani kupitia udini ili wapate madaraka. Pinda ana wakati mgumu kimwili na kiroho na asiporudi madhabahuni kutubu; laana itamla yeye na kizazi chake. Amepanda mbegu itakayomaliza kizazi chake
 
Mimi ni ccm kindakinda mpaka leo sijaelewa kwanini wakubwa wa chama chetu wameamua kulivua nguo taifa letu pendwa kwa kuleta vita ya kidini ili hali wakijua ya kwamba huwa haina mshindi,mimi najiuliza hivi wamechoka na amani iliyodumu kwa sababu ya msingi huu? inasikitisha sana jk kuamua kuturithisha vita!
 
Mimi siyo muislam lakini nafedheheka sana na watu wanaojiita wamesoma halafu ni wezi, mafisadi, wala rushwa na wana utendaji duni. Nchi hii ili iendelee tunahitaji viongozi na watendaji walio wabunifu, waadilifu, na walio jasiri. Mambo yetu mengi hayaendi, siyo kwa sababu ya elimu bali kutokana na ubunifu mdogo, ukosefu wa uzalendo, na ujasiri.

Uongozi wa Kikwete umeyumba sana siyo kwaajili ya elimu maana wote Mkapa na Kikwete wana degree moja. Kikwete anachokosa ni msimamo na ujasiri na wala siyo elimu.

Unaposema waislam hawajasoma uweke na takwimu,
tuwekee idadi yao kiujumla,idad ya waliosoma na wasiosoma.
Na pia tupatie idadi ya wasio waislam kwa ujumla,na idad ya waliosoma na wasiosoma.Then tufanye analysis

Kusifia kama wakristo wamesoma,then kwenye kashfa za wizo serikalin wao ndo wengi ni ujuha.Haya Mtoto wa Mkulima kasoma mbona anavurunda?AG wa Mkapa,ma-AG QA JK WOTE WAKRISTO NA HAPA WANACHAMBWA KUWA NI EMPTY HEADS,ILA WAO HAMUWASEMI KWA DINI ZAO,AKINA S@ad@ mnawajadili kwa dini zao.Hapo hakuna u-great thinker mdau
 
Off course, ilikuwa yangu. I can do anything on it.

Wee kahamasishe watu kusoma sio kufungia watoto (147, Kilimanjaro) miskitini! Na kuwanyima fursa ya kupata Elimu!!
Wewe huna chako hapa JF hata ID si mali yako. Hao wanaowafungia watoto ndani ni watu wenye akili fupi kama ilivyo kwa mtu yeyote,mbona wamasasi na baadhi ya makabila wanawaoza watoto zao mapema na wanakosa elimu?hilo ni kukosa maono kama ilivyo wewe ambaye unajisifia kuwa watu wa dini yako wamesoma kwa wingi na hao hao ndio wanaoonekana wanafanya ubadhilifu kwa wingi.Sasa sisi tunaojitambua hatuwezi kusema wakristo ni wezi,sisi tutaendelea kusema akina fulani ni wezi.So usiwe una generalize mambo dogo kwa kufuata Mkumbo.
 
Mimi siyo muislam lakini nafedheheka sana na watu wanaojiita wamesoma halafu ni wezi, mafisadi, wala rushwa na wana utendaji duni. Nchi hii ili iendelee tunahitaji viongozi na watendaji walio wabunifu, waadilifu, na walio jasiri. Mambo yetu mengi hayaendi, siyo kwa sababu ya elimu bali kutokana na ubunifu mdogo, ukosefu wa uzalendo, na ujasiri.

Uongozi wa Kikwete umeyumba sana siyo kwaajili ya elimu maana wote Mkapa na Kikwete wana degree moja. Kikwete anachokosa ni msimamo na ujasiri na wala siyo elimu.
Mwambie huyo mamu the catalyst maana hajui hata mambo yanakwendaje,
 
Last edited by a moderator:
wapinzani walipotoka bungeni walicheza offside trick na ccm wakajaaa hiyo inajulikana kama force king unaingizwa king kisha king inaliwa na bao linaisha waliwekewa mtego waamue hayo ya kadhi peke yao na yale ya serekali tatu wenyewe sasa wakadhani ni fursa bila kuangalia kina Mbowe wanawasubiri uraiani . Ishu za katiba zimewapa na zitawapa wapinzani asilimia 25% ya kura watakazopata
 
Kusema ni rahisi. Shughuli ni kutenda.

Ungekuwa kwenye kiti cha waziri mkuu na changamoto (controversial issues) kama haya yanatokea sijui ungefanya nini zaid ya anachokifanya Pinda muda huu.

Uongozi si lelemama kama udhaniavyo..
kensh , @vuta nkuvute , stabilaza na wengineo

Kama huwezi kutenda, muungwana unawaachia wanaoweza. Issue nyepesi kama hiyo anshindwa kutenda?
Iwapo anashinikizwa si amuachie huyo anayemshinikiza?
 
Wewe huna chako hapa JF hata ID si mali yako. Hao wanaowafungia watoto ndani ni watu wenye akili fupi kama ilivyo kwa mtu yeyote,mbona wamasasi na baadhi ya makabila wanawaoza watoto zao mapema na wanakosa elimu?hilo ni kukosa maono kama ilivyo wewe ambaye unajisifia kuwa watu wa dini yako wamesoma kwa wingi na hao hao ndio wanaoonekana wanafanya ubadhilifu kwa wingi.Sasa sisi tunaojitambua hatuwezi kusema wakristo ni wezi,sisi tutaendelea kusema akina fulani ni wezi.So usiwe una generalize mambo dogo kwa kufuata Mkumbo.

Ha ha ha ha............
 
wamebaki kumuandama Gwajima
 
Mh Pinda mimi nilikuwa mshabiki wako mkubwa lakini kwa hili siku hizi umenitoka!
 
Back
Top Bottom