Nimekuwa nikifatilia bongo movie kabla na baada ya kufariki kwa msanii alokubalika zaidi ndani na nje ya nchi, kulikuwa na ushindani wa hali ya juu kati ya Steven Kanumba(R.I.P) na Vicent Kigosi Rey.
Llakini tangu mshindani mwenzake atangulie mbele ya haki ni kama umekuwa vuguvugu sio moto tena ule moto wako haupo tena au alikuwa anasafiria nyota ya mwenzie? kwa sasa ilitakiwa awe juu zaidi ya wote hao why Rey?