Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
Hebu tuchukulie kwamba unadaiwa fedha na wanaokudai au anayekudai amechachamaa. Huenda amefikia hatua ya kutaka kukuadhiri sasa. Anataka kuja kwako kuchukua vifaa vyako au amepania kukupeleka mahakamani. Labda niseme tu kwamba, unadaiwa na anayekudai amekubadilikia na umeingia kwenye hofu.
Hebu niambie, kama ni wewe umeingia kwenye dhahama hiyo ungefanyaje?
Hebu niambie, kama ni wewe umeingia kwenye dhahama hiyo ungefanyaje?