Akihutubiwa mkutano wa hadhara ktk maeneo ya Sido,amekutana na zomea zomea,baada ya kushindwa kujibu maswali ya wakazi na wafanyabiashara wa hapo!ikamlazimu kukabidhi maiki kwa Mc,na kupanda gari,ndipo wananchi wakaanza kuimba Sugu rais na kumwita Mary fisadi.

hivi yule mama bado ana ndoto za kuchukua ubunge wa mbeya mjini?hajui kusoma alama za nyakati au analazimishwa na ccm?
Ahsante mkuu! Lakini sababu ya kuzomewa ni nini? na sababu za kupigwa huyo kijana ni nini?Kuna jamaa alikuwa anatetea C.C.M kwa nguvu zake zote wananchi wamemzonga na kuambulia kipigo kikali. Wananchi wote walikuwa wanashangilia CHADEMA huku vidole viwili vikiwa juu.
Mkuu,pamoja na kuwa mie siipendi ccm lakini kwa hilo swala la mataulo mie nitamtetea huyu mama hadi asubuhi.Nadhani anastahili kukamatwa na kushtakiwa. Hiyo zomeazomea haimtoshi. Anakesi ya kuiba taulo za kuoga hotel ya Arusha Tulip hapa jijini Arusha. Angepigwa hata mawe au kuchomwa tairi maana ni kibaka huyo!
Mkuu,pamoja na kuwa mie siipendi ccm lakini kwa hilo swala la mataulo mie nitamtetea huyu mama hadi asubuhi.
Amini nawaambieni huyu mama hana dhiki ya kuiba matauro....huyu mama kimaisha yuko level nyingine na hafanani na
unachokisema hapa. Huyu mama ni mpiganaji sana ila amekosea kwenda chama cha magamba.full stop
Ahsante mkuu! Lakini sababu ya kuzomewa ni nini? na sababu za kupigwa huyo kijana ni nini?