samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,207
Inashangaza wakati hata Tindu Lisu alipokea posho ya bunge maalum la katiba ,
tatizo sio kuchukua posho mkuu, tatizo hesabu haziko sawa, na hiyo ni kodi ya watanzania lazima kuwe na majibu ya kurizisha,,, kama suala ni posho ilitakiwa wapige hesabu zieleweke, mbona rahisi tu.... LISU kama mwakilishi wa wananchi ataulizwa na waliomtuma (wananchi wake) kwa hiyo ana haki ya kuhoji na kupewa majibu yakurizisha mkuu au wewe huhitaji kujua matumizi ya kodi yako yanaendaje au hulipi kodi nini???
tujaribu kuweka maslahi ya taifa mbele basi jamani!!!!